Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
WEKEZAJI WA TIMU ZA KARIAKOO NI JANJA JANJA TU.Na Simba mkataba wa mo hawauweki wazi halafu utasikia Twitter mtu analalamika anapata hasara
Kweli mkuu inaonekana tupo wengi humu hatujui kuhusu mkataba.Ni haki yako Mkuu.
SUBIRIA VIONGOZI WATAKUPA A-Z KUHUSU HUO MKATABA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mkuu jikite kwenye hoja Unajua Nini maana ya chokochoko?!Nyie ndio mnaleta chokochoko mkiona mambo yapo sawa
Au turudi kule kutembeza bakuli?
Hiyo ada yako ya uanachama inasaidia nini?
HUYO SUBIRI MALALAMIKO KUWA TIMU INAMTIA HASARA.Moxtraa sijui kiasi gani nao
Sass subiri wakati wa mkutano mkuu utauliza au mwishoni mwa msimu watatoa tathmini hapa sio mahala sahihiMkuu jikite kwenye hoja Unajua Nini maana ya chokochoko?!
Kwa hiyo Sina haki ya kuhoji??
Kama huna jibu bora ukae kimya maana hata wewe hujui huo mkataba Gharama yake.
Hii ya simba haijibu swali la mleta mada kuhusu Whizmo ya Yanga. Sio watu wote ni weupe kichwani kwamba unaweza ukawapa jibu la kulinganisha na tatizo la upande wa pili wakakaa kimyaNa Simba mkataba wa mo hawauweki wazi halafu utasikia Twitter mtu analalamika anapata hasara
Lupweko kwenye kukurupukaHii ya simba haijibu swali la mleta mada kuhusu Whizmo ya Yanga. Sio watu wote ni weupe kichwani kwamba unaweza ukawapa jibu la kulinganisha na tatizo la upande wa pili wakakaa kimya
Mbona mikataba ya ZIPA ZIRA huko zenji haikusubiri mkutano mkuu??Sass subiri wakati wa mkutano mkuu utauliza au mwishoni mwa msimu watatoa tathmini hapa sio mahala sahihi
Zaidi inaonekana kama vile unafanya sabotage
Nina miaka mingine 19 ya kukalia ofisi ya umma kabla ya kustaafuLupweko kwenye kukurupuka
Mzee staafu kazini tu utaitia office hasara akili yako imefika mwisho
Mkuu mimi naona nikuachie wewe yaani umeshinda hiyo ilikuwa mikataba mifupi mifupi tena ilisainiwa hapa hapa .Mbona mikataba ya ZIPA ZIRA huko zenji haikusubiri mkutano mkuu??
Mkataba wa "HAER" nao haukusubiri mkutano mkuu ulitangazwa hadharani?
Hata mkataba wa "NIC" Kama sijakosea huu unashughulika na tuzo ya mchezaji Bora wa mwezi huu mkataba nao haukusubiri mkutano mkuu.
Sijui hoja yako kuhusu mkutano mkuu Ni ipi
HAYA BHANA LENGO LANGU NI KUJUA TU ILA NIMEONA WATU WENGI PIA HAWAJUI KAMA MIMI NISIVYOJUA.Mkuu mimi naona nikuachie wewe yaani umeshinda hiyo ilikuwa mikataba mifupi mifupi tena ilisainiwa hapa hapa .
Hiyo Whizmo ni company ya huko dubai inajihusisha na mawasiliano Nadhani tutajua soon
Na hata kama wanapiga hela ni sawa tu GSM anarudishaje Faida yake unadhani?
We mla mihogo kaa kmya in msomalis voiceNikiwa Kama mwanachama kindaki ndaki wa Yanga Sc ninayelipa ada ya uanachama kila mwaka ninayohaki ya kujua (kujuzwa) /kuuliza/kuhoji mapato ya timu pale ninapokua sijui.
Hili la Mkataba wa "WHIZMO" limekuja kitofauti nimeona watu wanapaa juu juu uzinduzi wa jezi, @NALIANGWENA nilisubiri maelezo kutoka kwa viongozi kuwa mkataba wa "WHIZMO" umeingiza kiasi gani lakini sikuona Hilo.
Na Mimi mwanayanga lialia nahitaji kujua/kutambua mkataba huu unaingiza shilingi ngapi kwenye timu yangu (Yanga Sc) ?? Kama tulivyowekwa wazi kwenye mkataba wa ZIRA, ZIPA kule zenji na mikataba mengineyo iliyo pita Kama "HAER"
NB: Kama hujui kitu Kama Mimi ni Bora kukaa kimya lakini siyo kuja kwenye Uzi kuporomosha matusi na lugha za kejeli Kama vile kwenu hakuna wakubwa.
Nawasilisha hoja.
View attachment 2841978
Uko sawa kiongozi, mkataba umewekwa Siri na sio kawaida ya viongozi wetu. Pia hata Haier kwenye jezi wapo nao inatakiwa isemwe mkataba wao ukoje.Nikiwa Kama mwanachama kindaki ndaki wa Yanga Sc ninayelipa ada ya uanachama kila mwaka ninayohaki ya kujua (kujuzwa) /kuuliza/kuhoji mapato ya timu pale ninapokua sijui.
Hili la Mkataba wa "WHIZMO" limekuja kitofauti nimeona watu wanapaa juu juu uzinduzi wa jezi, @NALIANGWENA nilisubiri maelezo kutoka kwa viongozi kuwa mkataba wa "WHIZMO" umeingiza kiasi gani lakini sikuona Hilo.
Na Mimi mwanayanga lialia nahitaji kujua/kutambua mkataba huu unaingiza shilingi ngapi kwenye timu yangu (Yanga Sc) ?? Kama tulivyowekwa wazi kwenye mkataba wa ZIRA, ZIPA kule zenji na mikataba mengineyo iliyo pita Kama "HAER"
NB: Kama hujui kitu Kama Mimi ni Bora kukaa kimya lakini siyo kuja kwenye Uzi kuporomosha matusi na lugha za kejeli Kama vile kwenu hakuna wakubwa.
Nawasilisha hoja.
View attachment 2841978
Mbona mikataba mingine imewekwa wazi huu kwa Nini usubiri mkutano mkuu??Wewe Kama mwanachama hai nenda makao makuu wakupe au subiri mikutano ya klabu!!, Kila Jambo linauendeshaji wake acha kupropagate Mambo ya kichochezii!.