Hivi mkataba uliosainiwa na Yanga sc "WHIZMO" ni mkataba unayoiingizia timu shilingi ngapi?

Ngoja wenye Yanga yao waje, binafsi pamoja na ushabiki wangu wa mpira kuna mambo hayawezi kunishughulisha nayo. Mfano kujua mikataba haina umuhimu kwasababu hata nikijua haina maslahi kwangu.
Sawa Mkuu
 
Sio kila mkataba lazima uwekwe hadharani kama wewe mwanachama nenda kaombe usome vipengere haukatazwi
Kwani Kuna ubaya kujua mkataba nikiwa Kama mwanachama mbona mikataba mingine wanatushirikisha huu mkataba una Nini mpaka usiwekwe wazi??
 
Jibu sahihi nenda makao makuu kaomba huo mkataba utapewa wewe si mwanachama hai?
NILISEMA KAMA HAMNA MAJIBU NI BORA KUKAA KIMYA KULIKO KUJA KUTUMIA HISIA KUTETEA TIMU WAKATI MIMI POST YANGU INAJIELEZA.
 
Kwani Kuna ubaya kujua mkataba nikiwa Kama mwanachama mbona mikataba mingine wanatushirikisha huu mkataba una Nini mpaka usiwekwe wazi??
Hakuna ubaya wewe ni mwanachama una access ya kwenda kuhoji pale makao makuu ni haki yako
 
Mpaka Sasa hakuna aliyenijubu Bali ni MALALAMIKO tu.
 
SIJAPATA JIBU MPAKA SASA KUHUSU MKATABA WA "WHIZMO"
 
Kama nimwanachama hai je unabudhuria vikao km unahudhuria vikao kwanini hiyo hoja ukaipeleka huko ambako utapata ufafanuzi wa kina
 
Kama nimwanachama hai je unabudhuria vikao km unahudhuria vikao kwanini hiyo hoja ukaipeleka huko ambako utapata ufafanuzi wa kina
HUU MFUMO WA KUSUBIRI VIKAO UMEANZA LINI MBONA MIKATABA YOTE ILIWEKWA WAZI MBELE YA KAMERA??

SASA MKATABA HUU UNA KIPI MPAKA UFICHWE/USUBIRI MKUTANO MKUU

JIKITE KWENYE HOJA KAMA HUNA JIBU KAMA MIMI SUBIRI WANAOJUA WAJE KUJIBU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…