Hivi mkeo unamuachia Tsh. ngapi unapotaka kwenda kazini?

Hivi mkeo unamuachia Tsh. ngapi unapotaka kwenda kazini?

Ndoa utaachiwa 100k perday.
Kawaida mtu mwenye akili zake anaacha 30k kwa siku kama hana basi anasema .
Kuliko mtu maisha ndio haya unaachiwa 10k hamna hata vitu vya jumla nikutesana tu.
30 na bado amenunua vitu ndani vyote hapo niuchumba tu je ndoa .
 
Uzi tayari!

Kiasi gani cha matumizi unachomwachia mkeo ili kukidhi mahitaji ya kutwa na maandalizi ya chakula cha jioni?

Ambao hatujaoa njooni tujifunze hapa!
Kuacha matumizi ya kila siku ni kutojipanga kimaisha weka vitu ndani mwanamke mpe hela yake ya matumizi ya mwezi mzima afanye anavyojua yeye yan kila siku uache hela ndo ratiba gan ya maisha hiyo mm hapo napinga sana
 
Mimi nikiwa na nafasi ya salio naacha matumizi ya mwezi mzima huku kila kitu kikiwa ndani.

Sitaki kero ya kuamka na madeni mwishowe unakuwa unaadopt mazingira ya madeni

ila wanawake wakorofi, utamuachia laki mbili ya matumizi lakini still atakuomba pesa ya vocha.


Utamuwekea kila kitu ndani cha kupika lakini still atakuuliza leo tunakula nini.
Ni jinsi ulivyo mjenga toka mnaanza mahusiano kama hukuwa ukimrekebisha tabia ndogo ndogo atakusumbua alaf tutafte wanawake wenye sababu za msingi za maisha hao wanakua wanajielewa
 
Kwa comments hizi kweli nakubaliana na ule usemi wa kusema "kwa mwanamke ndoa ni ajira"
Kwa mila na desturi za kidunia inalazimisha iwe hivyo mkuu.
Ni jinsi ulivyo mjenga toka mnaanza mahusiano kama hukuwa ukimrekebisha tabia ndogo ndogo atakusumbua alaf tutafte wanawake wenye sababu za msingi za maisha hao wanakua wanajielewa
Hakuna sababu ya msingi kwa watu woote mkuu,kila mtu ana sababu yake ya msingi katika maisha.

Naomba ufafanuzi hapo kwenye kurekebisha tabia ndogondogo
 
Ninachofanya! Wanapanga bajeti ya mwezi mzima (mke akishirikiana na dada wakazi au waliopo home), kwamba nyama watakula kwa wiki mara ngapi? Maharagwe? Samaki? Kuku au vyovyote vile ila mboga za majani ni lazima kila mlo!!N afaka pia unga wa ugali, mchele, ngano,makande, ndizi, na n.k. zinalika kiasi gani kwa siku/wiki/mwezi. Dharura isikosekane,
Huo ndio mfumo sahihi wa maisha pongezi kwako ww unaelewa nn maana ya kua na ustaarabu kwenye matumizi
 
Una shule kaka
Watu tisa mbona normal sana kaka, humu mjini kuna miji ina watu balaa. Kwamfano nenda kule Masanza kona- Magu kwa Mabeyo uone tupuli iliyopo pale, kama ukoo vile. Pale nikihesabu roughly hawapungui raia 20-25.

Mwaka 2020 alikuwa anajenga mjengo wake kule(bangalore), nilikula shavu la usimamizi kama Engineer kutoka kwa aliekuwa Zonal construction manager JKT. HAPO NDO NILIJUA KUNA WATU WANALEA WATU BWANA.
 
Kuacha matumizi ya kila siku ni kutojipanga kimaisha weka vitu ndani mwanamke mpe hela yake ya matumizi ya mwezi mzima afanye anavyojua yeye yan kila siku uache hela ndo ratiba gan ya maisha hiyo mm hapo napinga sana
Kuna familia nyingi za Kitanzania (zaidi ya 50%),baba atoke ndio wale sasa mwanaume kama huyu hiyo hela ya mwezi mzima anaipataje, labda aotee mchongo utakao mpa hela ya kula hata mwezi na hiyo hutokea mara chache sana.
 
Mimi ninanunua mchele,unga maharage gas na mkaa then kwa siku HAKUNA formula itategemea na siku hiyo nataka kula Nini kwa mfano nyama Basi lazima niache 5000 ambayo NI nusu uzuri tuko wawili TU hatuna mtoto na wife NI mama wa nyumbani Bado sijamuanzishia mradi...Ila kumbuka hapo nakuwa nishaenda naye sokoni weekend kununua vitunguu nusu vya 2000,nyanya za 3000,karoti 1000,hoho 1000, dagaa wa 3000 ,nyanya chungu 1000,..tangawizi za 1000, n.k.....af sometimes na Nazi ya buku muhimu kila siku na asbh ye namwachiaga jero anapenda mihogo au mandazi anakunywa na chai ...so kwa wastani jua NI 2000-5000,,, sometimes inavuka 7000...
Ndege John yule ni demu au mke?
 
Maza 200k ma michango ya harusi

Baba hayupo

Maza ana watoto wazito kunizidi mimi hakosi 800k kwa mwezi
Habari yako kaka. Nina shida na msaada wako nimejaribu kukutumia message humu imeshindikana. Labda kama kuna uwezekano wa kupata mawasiliano yako ningeomba unisaidie. Nitashukuru sana. 🙏
 
Kuacha matumizi ya kila siku ni kutojipanga kimaisha weka vitu ndani mwanamke mpe hela yake ya matumizi ya mwezi mzima afanye anavyojua yeye yan kila siku uache hela ndo ratiba gan ya maisha hiyo mm hapo napinga sana
Hii inawezekana kwa baadhi ya Watu, kwa mwengine budget ya kesho inategemea jinsi atakavyorudi jioni ya leo.
 
Mimi nina familia ya watu wa3 naacha ten au naweza acha 70 wiki nzima wakati kila kitu kipo ndani yani unga mchele na mazaga ya sokoni. Nikiacha hela ya mwezi mzima tunagombana kwani inaisha ndani ya wiki 2 tu sijui anacheza kikoba sielewi.
Wanawake wako hivi, ukimpa pesa nyingi inaisha fasta.
 
200k-300k kwa mwezi

Unga,mafuta,Gas,mchele juu yangu

Ila kuna kipindi wakati namuoa sikuwa na uweZo huo hivyo nilikuwa natoa 150k na siongezi hata sh kumi plus unga,mchele,mafuta na gas.


Mpe mkeo mahitaji kulingana na uchumi wako unavyokwenda.

Awali ma mkwe nilikuwa nampa 50k na ba mkwe 80k kwa mwezi ila now ma mkwe 100k na ba mkwe 150k.

Kama mkeo hakupi stress na hela unatafuta vzr basi hakikisha uchumi ukipanda na watu wa karibu wananufaika maana pesa zipo zitumiwe tu.
Eeeeeh na wakwe kumbe nao wamo
 
Nlikuwa naishi naye akiwa mjamzito (sijamuoa) na mwachia 150k kwa mwezi kila kitu ndani, lakini mwezi hauishi anakwambia nimebakiwa na elfu 5, kumbe anatuma kwao wakati MI mwenyewe naungaunga..
Asante Mungu kwa kuniepushia lile janga kuoa baadae sana kama sio never acha nisake mihela nijilie mwenyewe
 
Bora hata huyu anaacha buku mbili, kuna wengine hawaachi hata Mia.

Akirudi jioni anataka akute msosi mezani.

Mtasaidiwa sana na vijana wa genge.
Kwani tatizo liko wapi mkeo kutombwer na vijana wa genge
 
Back
Top Bottom