mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
NdiyoNi sahihi mkuu,ndani mnachangamka hauna stress.
Wamama wa nyumbani ni wahanga sana wa msongi wa mawazo kwa sababu hawana watu wa kupiga nao stori.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdiyoNi sahihi mkuu,ndani mnachangamka hauna stress.
Wamama wa nyumbani ni wahanga sana wa msongi wa mawazo kwa sababu hawana watu wa kupiga nao stori.
Hakuna mwanamke mtegemezi ,kama wote mnafanya kazi basi itabidi uajiri Hg.Shida ya kuoa mke tegemezi hii, kwani yeye haendi kazini..? Mimi sijui huu utaratibu wa kuweka pesa za matumizi mezani always kuna pesa sehemu kwa ajili ya matumizi msingi. Ikiisha anachukua kwenye akaunti au nitachukua mimi.
Nikioa atakuwa anaandika vya kupika siku hiyo tunajumlisha naacha helaUzi tayari!
Kiasi gani cha matumizi unachomwachia mkeo ili kukidhi mahitaji ya kutwa na maandalizi ya chakula cha jioni?
Ambao hatujaoa njooni tujifunze hapa!
Tumepanga harusi tuifanyie mwisho wa mwaka huu, tena iwe simple sana na ikiwezekana tusitumie zaid ya laki 2. Hakuna michango.Ukiskia mke kupenda ndio hivyo...Wala hawanaga matata huyo kama hujaoa oa kabisa
Asante studio😅Tumepanga harusi tuifanyie mwisho wa mwaka huu, tena iwe simple sana na ikiwezekana tusitumie zaid ya laki 2. Hakuna michango.
tabia za hovyo hizo uache kama unazo tutashindwa kuja hapo home[emoji23][emoji23]kweli
Ila wanawake wachoyo jmn[emoji119]
fala kweli huyo mwanamke af sass mkiamaindishaga misosi mnapata faida gani?Eeh yaani mgeni kaja,mtu anajinunisha plus kulalamika hana pesa,full kisirani yaani wanawake sie Mungu anatuona.
Yaani kuna anko wangu alioa mwanamke yule alikuwa mchoyo,anamaind kula,ukienda kwake ushibe kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
ulimpa ya mboga mkuuMimi nikiwa na nafasi ya salio naacha matumizi ya mwezi mzima huku kila kitu kikiwa ndani.
Sitaki kero ya kuamka na madeni mwishowe unakuwa unaadopt mazingira ya madeni
ila wanawake wakorofi, utamuachia laki mbili ya matumizi lakini still atakuomba pesa ya vocha.
Utamuwekea kila kitu ndani cha kupika lakini still atakuuliza leo tunakula nini.
Usiogope wewe oa tu 5000 ndio bajeti ya familia nyingi hapa bongo ,cha msingi jitahidi ununue mahitaji kama mkaa ,mafuta ya kula,unga,mchele,mazagazaga ya gengeni mambo yana enda vizuri ishi kulingana na uwezo wako usisikilize watu ,nyumba zina siri nyingi kuna wengine hata hawaachi kitu nyumbani ila barabarani wameulamba[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
kumbe na baba na mama mkwe wanawekwa kwenye hesabu!! Basi hiki ndo kinaweza kuwa chanzo cha vijana wengi kutooa! Nilikuwa najua kuwa ntakuwa natoa 5,000 kwa siku, kazi kwisha! Ningevuta chombo hata kesho kutwa!!
Nimekupenda Bure kwa Busara zako. Kipato chako kidogo unakipangilia vizuri. Nimekusoma unajali Sana familia. Mungu akuongoze upate kipato kikubwa zaidi na zaidi. You will make a great father figure. SaluteMimi ninanunua mchele,unga maharage gas na mkaa then kwa siku HAKUNA formula itategemea na siku hiyo nataka kula Nini kwa mfano nyama Basi lazima niache 5000 ambayo NI nusu uzuri tuko wawili TU hatuna mtoto na wife NI mama wa nyumbani Bado sijamuanzishia mradi...Ila kumbuka hapo nakuwa nishaenda naye sokoni weekend kununua vitunguu nusu vya 2000,nyanya za 3000,karoti 1000,hoho 1000, dagaa wa 3000 ,nyanya chungu 1000,..tangawizi za 1000, n.k.....af sometimes na Nazi ya buku muhimu kila siku na asbh ye namwachiaga jero anapenda mihogo au mandazi anakunywa na chai ...so kwa wastani jua NI 2000-5000,,, sometimes inavuka 7000...
Sina roho mbayatabia za hovyo hizo uache kama unazo tutashindwa kuja hapo home
Aisee ni kwere yaniSina roho mbaya
Kwetu tulikuwa wengi mpk kero
Nimekulia huko yaani
Vijana wanataka wenye chura ambao mara nyingi ni wapaka rangi. Wenye wake wanaojiweza wanasoma comments tu na kushangaa kijana anavyoacha 500k wakati ameshanunua mazaga.Oa mwanamke mwenye uwezo wa kujilisha.
[emoji3]
Hao walio bahatika ,wanaume wengine akuachie hela,bado umuombe,thubutu