Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,798
- 1,570
daaaah watu wana roho mbya sana aseeee, mimi nlishawai kuambiwa unaona raha kula chakula tu cha wazee, mjomba wangu uyo ananitamkia ivooo aseeee iliniuma sana usiku kucha sikulala nawaza iyo kauliIngawa tunajua kuwa ndugu hawanaga shukrani (watajaa kwako vinono vikiwepo na vikiisha watakimbia), ila kama mungu kakubariki wahudumie tu hasa swala la chakula na makazi.
Nimezipokea pongezi zako mkuu, asante sana.