Kawaida mtu mwenye akili zake anaacha 30k kwa siku kama hana basi anasema .
Kuliko mtu maisha ndio haya unaachiwa 10k hamna hata vitu vya jumla nikutesana tu.
30 na bado amenunua vitu ndani vyote hapo niuchumba tu je ndoa .
Kuacha matumizi ya kila siku ni kutojipanga kimaisha weka vitu ndani mwanamke mpe hela yake ya matumizi ya mwezi mzima afanye anavyojua yeye yan kila siku uache hela ndo ratiba gan ya maisha hiyo mm hapo napinga sanaUzi tayari!
Kiasi gani cha matumizi unachomwachia mkeo ili kukidhi mahitaji ya kutwa na maandalizi ya chakula cha jioni?
Ambao hatujaoa njooni tujifunze hapa!
Ni jinsi ulivyo mjenga toka mnaanza mahusiano kama hukuwa ukimrekebisha tabia ndogo ndogo atakusumbua alaf tutafte wanawake wenye sababu za msingi za maisha hao wanakua wanajielewaMimi nikiwa na nafasi ya salio naacha matumizi ya mwezi mzima huku kila kitu kikiwa ndani.
Sitaki kero ya kuamka na madeni mwishowe unakuwa unaadopt mazingira ya madeni
ila wanawake wakorofi, utamuachia laki mbili ya matumizi lakini still atakuomba pesa ya vocha.
Utamuwekea kila kitu ndani cha kupika lakini still atakuuliza leo tunakula nini.
Kwa mila na desturi za kidunia inalazimisha iwe hivyo mkuu.Kwa comments hizi kweli nakubaliana na ule usemi wa kusema "kwa mwanamke ndoa ni ajira"
Hakuna sababu ya msingi kwa watu woote mkuu,kila mtu ana sababu yake ya msingi katika maisha.Ni jinsi ulivyo mjenga toka mnaanza mahusiano kama hukuwa ukimrekebisha tabia ndogo ndogo atakusumbua alaf tutafte wanawake wenye sababu za msingi za maisha hao wanakua wanajielewa
Pengine wameshafariki mkuu huwezi jua.Nimeona hapo hitaji la Baba mkwe na mama mkwe, sijaona hitaji la wazazi wako mke asikushike masikio sana hivyo
Huo ndio mfumo sahihi wa maisha pongezi kwako ww unaelewa nn maana ya kua na ustaarabu kwenye matumiziNinachofanya! Wanapanga bajeti ya mwezi mzima (mke akishirikiana na dada wakazi au waliopo home), kwamba nyama watakula kwa wiki mara ngapi? Maharagwe? Samaki? Kuku au vyovyote vile ila mboga za majani ni lazima kila mlo!!N afaka pia unga wa ugali, mchele, ngano,makande, ndizi, na n.k. zinalika kiasi gani kwa siku/wiki/mwezi. Dharura isikosekane,
Watu tisa mbona normal sana kaka, humu mjini kuna miji ina watu balaa. Kwamfano nenda kule Masanza kona- Magu kwa Mabeyo uone tupuli iliyopo pale, kama ukoo vile. Pale nikihesabu roughly hawapungui raia 20-25.Una shule kaka
Kuna familia nyingi za Kitanzania (zaidi ya 50%),baba atoke ndio wale sasa mwanaume kama huyu hiyo hela ya mwezi mzima anaipataje, labda aotee mchongo utakao mpa hela ya kula hata mwezi na hiyo hutokea mara chache sana.Kuacha matumizi ya kila siku ni kutojipanga kimaisha weka vitu ndani mwanamke mpe hela yake ya matumizi ya mwezi mzima afanye anavyojua yeye yan kila siku uache hela ndo ratiba gan ya maisha hiyo mm hapo napinga sana
Ndege John yule ni demu au mke?Mimi ninanunua mchele,unga maharage gas na mkaa then kwa siku HAKUNA formula itategemea na siku hiyo nataka kula Nini kwa mfano nyama Basi lazima niache 5000 ambayo NI nusu uzuri tuko wawili TU hatuna mtoto na wife NI mama wa nyumbani Bado sijamuanzishia mradi...Ila kumbuka hapo nakuwa nishaenda naye sokoni weekend kununua vitunguu nusu vya 2000,nyanya za 3000,karoti 1000,hoho 1000, dagaa wa 3000 ,nyanya chungu 1000,..tangawizi za 1000, n.k.....af sometimes na Nazi ya buku muhimu kila siku na asbh ye namwachiaga jero anapenda mihogo au mandazi anakunywa na chai ...so kwa wastani jua NI 2000-5000,,, sometimes inavuka 7000...
Achana naye huyo da Suzy anajipaisha tuNawe mumeo ndo anakuachia 30k?[emoji848][emoji849]
Maana niliona tangazo lakufind Ndoa[emoji1787][emoji1787][emoji2]
Unasubili analala unampga bao Moja Hilo kesho anaanza kuachaBora hata huyu anaacha buku mbili, kuna wengine hawaachi hata Mia.
Akirudi jioni anataka akute msosi mezani.
Mtasaidiwa sana na vijana wa genge.
Habari yako kaka. Nina shida na msaada wako nimejaribu kukutumia message humu imeshindikana. Labda kama kuna uwezekano wa kupata mawasiliano yako ningeomba unisaidie. Nitashukuru sana. 🙏Maza 200k ma michango ya harusi
Baba hayupo
Maza ana watoto wazito kunizidi mimi hakosi 800k kwa mwezi
Hii inawezekana kwa baadhi ya Watu, kwa mwengine budget ya kesho inategemea jinsi atakavyorudi jioni ya leo.Kuacha matumizi ya kila siku ni kutojipanga kimaisha weka vitu ndani mwanamke mpe hela yake ya matumizi ya mwezi mzima afanye anavyojua yeye yan kila siku uache hela ndo ratiba gan ya maisha hiyo mm hapo napinga sana
Wanawake wako hivi, ukimpa pesa nyingi inaisha fasta.Mimi nina familia ya watu wa3 naacha ten au naweza acha 70 wiki nzima wakati kila kitu kipo ndani yani unga mchele na mazaga ya sokoni. Nikiacha hela ya mwezi mzima tunagombana kwani inaisha ndani ya wiki 2 tu sijui anacheza kikoba sielewi.
Kabisa [emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]Wanawake wako hivi, ukimpa pesa nyingi inaisha fasta.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna member wa jana yule anaacha buku mbili
Eeeeeh na wakwe kumbe nao wamo200k-300k kwa mwezi
Unga,mafuta,Gas,mchele juu yangu
Ila kuna kipindi wakati namuoa sikuwa na uweZo huo hivyo nilikuwa natoa 150k na siongezi hata sh kumi plus unga,mchele,mafuta na gas.
Mpe mkeo mahitaji kulingana na uchumi wako unavyokwenda.
Awali ma mkwe nilikuwa nampa 50k na ba mkwe 80k kwa mwezi ila now ma mkwe 100k na ba mkwe 150k.
Kama mkeo hakupi stress na hela unatafuta vzr basi hakikisha uchumi ukipanda na watu wa karibu wananufaika maana pesa zipo zitumiwe tu.
Kwani tatizo liko wapi mkeo kutombwer na vijana wa gengeBora hata huyu anaacha buku mbili, kuna wengine hawaachi hata Mia.
Akirudi jioni anataka akute msosi mezani.
Mtasaidiwa sana na vijana wa genge.