Ingawa tunajua kuwa ndugu hawanaga shukrani (watajaa kwako vinono vikiwepo na vikiisha watakimbia), ila kama mungu kakubariki wahudumie tu hasa swala la chakula na makazi.
daaaah watu wana roho mbya sana aseeee, mimi nlishawai kuambiwa unaona raha kula chakula tu cha wazee, mjomba wangu uyo ananitamkia ivooo aseeee iliniuma sana usiku kucha sikulala nawaza iyo kauli
daaaah watu wana roho mbya sana aseeee, mimi nlishawai kuambiwa unaona raha kula chakula tu cha wazee, mjomba wangu uyo ananitamkia ivooo aseeee iliniuma sana usiku kucha sikulala nawaza iyo kauli
Labda kama haukuwa vizuri mfukoni hata kidogo ila kama mimi ndo naambiwa hivyo, kesho yake tu nafunga safari kwenda kupanga sehemu nijitafutie maisha. Ni bora niwe nakula milo miwili bila kusimangwa kuliko kuvumilia hizo kauli.