Hivi mkeo unamuachia Tsh. ngapi unapotaka kwenda kazini?

Hivi mkeo unamuachia Tsh. ngapi unapotaka kwenda kazini?

Mimi nikiwa na nafasi ya salio naacha matumizi ya mwezi mzima huku kila kitu kikiwa ndani.

Sitaki kero ya kuamka na madeni mwishowe unakuwa unaadopt mazingira ya madeni.

Ila wanawake wakorofi,utamuachia laki mbili ya matumizi lakini still atakuomba pesa ya vocha.
Hapa ndio wanawake wanakuwa wajinga sana. Juzi nimesafiri nimeacha nyumbani laki nne na vyakula vya kutosha nipo njiani safarini eti mke ananiambia luku imeisha sikununua. Hawa viumbe akili zao ni finyu baadhi lkn
Nilitamani nimtukane matusi mazito sana but nilijizuia
 
Uzi tayari!
Kiasi gani cha matumizi unachomwachia mkeo ili kukidhi mahitaji ya kutwa na maandalizi ya chakula cha jioni?

Ambao hatujaoa njooni tujifunze hapa!
Kwani yeye haendi kazini..?
 
Hapa ndio wanawake wanakuwa wajinga sana. Juzi nimesafiri nimeacha nyumbani laki nne na vyakula vya kutosha nipo njiani safarini eti mke ananiambia luku imeisha sikununua. Hawa viumbe akili zao ni finyu baadhi lkn
Nilitamani nimtukane matusi mazito sana but nilijizuia
Hahahah Mkuu asilimia kubwa ndio tabia zao.

Mimi kuna siku nilimuuliza unaniombaje pesa na nimekupa na lengo la kukupa sitaki kuombwa ombwa kila wakati kukupunguzia kazi ?

Ananiambia asa si mume wangu nakuomba..nikabaki nimeduwaa tu mimi.
 
Bora hata huyu anaacha buku mbili, kuna wengine hawaachi hata Mia.

Akirudi jioni anataka akute msosi mezani.

Mtasaidiwa sana na vijana wa genge.
Shida ya kuoa mke tegemezi hii, kwani yeye haendi kazini..? Mimi sijui huu utaratibu wa kuweka pesa za matumizi mezani always kuna pesa sehemu kwa ajili ya matumizi msingi. Ikiisha anachukua kwenye akaunti au nitachukua mimi.
 
200k-300k kwa mwezi

Unga,mafuta,Gas,mchele juu yangu

Ila kuna kipindi wakati namuoa sikuwa na uweZo huo hivyo nilikuwa natoa 150k na siongezi hata sh kumi plus unga,mchele,mafuta na gas.

Mpe mkeo mahitaji kulingana na uchumi wako unavyokwenda.

Awali ma mkwe nilikuwa nampa 50k na ba mkwe 80k kwa mwezi ila now ma mkwe 100k na ba mkwe 150k.

Kama mkeo hakupi stress na hela unatafuta vzr basi hakikisha uchumi ukipanda na watu wa karibu wananufaika maana pesa zipo zitumiwe tu.
 
[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
kumbe na baba na mama mkwe wanawekwa kwenye hesabu!! Basi hiki ndo kinaweza kuwa chanzo cha vijana wengi kutooa! Nilikuwa najua kuwa ntakuwa natoa 5,000 kwa siku, kazi kwisha! Ningevuta chombo hata kesho kutwa!!
 
200k-300k kwa mwezi

Unga,mafuta,Gas,mchele juu yangu

Ila kuna kipindi wakati namuoa sikuwa na uweZo huo hivyo nilikuwa natoa 150k na siongezi hata sh kumi plus unga,mchele,mafuta na gas.

Mpe mkeo mahitaji kulingana na uchumi wako unavyokwenda.

Awali ma mkwe nilikuwa nampa 50k na ba mkwe 80k kwa mwezi ila now ma mkwe 100k na ba mkwe 150k.

Kama mkeo hakupi stress na hela unatafuta vzr basi hakikisha uchumi ukipanda na watu wa karibu wananufaika maana pesa zipo zitumiwe tu.
Wakwe unawapa, wazazi wako sijaona
 
Familia yangu ni kubwa kidogo(watu 9), zamani ikikuwa ni 15, ula sikuhizi naweza acha 25K au 20K kutokana na wanachotaka kuandaa( chai, cha mchana na usiku)

MAISHA yakikaza tunakoelea tutaanza kula tembele[emoji3].
Napenda sana nyumba yenye familia kubwa,,,ni raha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom