Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] haa haa haa eti wanawake wakorofi,[emoji23]Mimi nikiwa na nafasi ya salio naacha matumizi ya mwezi mzima huku kila kitu kikiwa ndani.
Sitaki kero ya kuamka na madeni mwishowe unakuwa unaadopt mazingira ya madeni.
Ila wanawake wakorofi,utamuachia laki mbili ya matumizi lakini still atakuomba pesa ya vocha.