Hivi mkeo wa ndoa anapokublock kwenye simu anakua na maana gani?

Kwema waheshimiwa?
Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?
NB;hii kesi ni ya jamaa yangu.
Inamaana amekasirika, hataki kero kwa wakati huo.
 
Kwema waheshimiwa?
Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?
NB;hii kesi ni ya jamaa yangu.
Mnashindwa kusaidiwa au kupewa ushauri mzuri sababu ya kuwasingizia jamaa zenu matatizo yenu.

Kuwa muwazi kuwa mkeo ndo kakublock, na Wala sio kesi ya jamaa yako
 
Fanya kama haujui mkuu, ukimfatilia sana ndo utazid kumsongeza mbali zaidi, ila we piga kimya tu kama haujui kitu” maisha ni Murua sana.
 
Huyo atakua ana Jini kisirani,
Mpotezee tu,nwenyewe atajiona mjinga mwisho wa siku,

Au siku akikuomba hela mwambie baadae kidogo nitatoka ila nikumbushe kwa kunitumia msg.
 
Kwema waheshimiwa?

Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?

NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
Mwambie Jamaa yako IMEISHA HIYO.
 
Kwema waheshimiwa?

Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?

NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
Haijawahi kutokea,kwanza ataanzia wapi kuniblock...
 
Kwema waheshimiwa?

Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?

NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
Mchana kuna mwamba anashinda nae, wewe endelea kuwa nae usiku

Angalizo:
Mchana hatulali ni kazi kazi!
 
Back
Top Bottom