Hivi mkeo wa ndoa anapokublock kwenye simu anakua na maana gani?

Hivi mkeo wa ndoa anapokublock kwenye simu anakua na maana gani?

Wanawake/Mademu kama hao ni wengi tu.
Dakika 5 mnafurahia, dakika 10 unabembeleza kashanuna haongei.
Halafu ni watu wa visasi sana, wengi huwa wanachukua maamuzi ya kukomoa na mwisho wa siku wanajikuta washajikomoa wao wenyewe.

Tulia tu, ataku-unblock...
 
Si mshahara umeongezewa chifu tena 23%

ONGEZA MKE CHIFU huyo ana mtu wake anampost kila siku hataki uone na ww tafuta mtu wako
 
Kwema waheshimiwa?

Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?

NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
Pole sana kwa yaliyokukuta,
Kikubwa tafuta madawa ya kuongeza nguvu za kiume!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwema waheshimiwa?

Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?

NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
Ukiwa peke yako nyumbani, chukua namba ya huyo mwanamke kisha mvute chumbani kwako, umuhoji vizuri!!
 
Kuku wako, manati ya nini...!! Na wakati jioni atarudi bandani..

Acha kujipanikisha Ujinga,,, endelea na mitikasi..

Wahuni huwa hatuchenji buku kwa njaa ya siku moja...
 
Humgegedi vilivyo, mke anayekolezwa kwa tendo kutosheleza toka kwa mumewe hawezi kumblock mumewe
 
Kwema waheshimiwa?

Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?

NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
Kausha jifanye kama hujui. Ila endelea kutimiza majukumu yako kama kawa. Hakuna kinachommaliza mwanamke kama silence ya mwanaume
 
We jua hataki online chatting anaitaji physical chatting
 
Amekasirika.. mpuuze na fanya yale yanayokuhusu. Usijishughulishe na vtu vidogo kama hivyo

Mwisho ataondoa hiyo block akiona hustuki wala nini😀
 
Kwema waheshimiwa?

Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?

NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
Wewe akikublock unapungukiwa nini? Si ndio amekupa nafuu kukupigia simu zao za kipuuzi halafu unaulizwa uko wapi?

Wewe kausha tu mpaka atajiona hajui, mapenzi ni ulaya huku Africa tunasogeza siku tu usiwachukulie serious utajiumiza bure.
 
Back
Top Bottom