Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Jamaa yako atakuwa anajua sababu. Sie tuta guess tuKwema waheshimiwa?
Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?
NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.