Hivi mmegundua hata CCM ni kama wanajitenga na Rais? Anatetewa na masheikh tu sasa

Hivi mmegundua hata CCM ni kama wanajitenga na Rais? Anatetewa na masheikh tu sasa

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Ukiacha wateule wake wachache na viongozi wachache wa Kiisllamu, mmesikia viongozi wa Jumuiya za CCM kama vile UVCCM, UWT, n.k wakijitokeza hadharani kumtetea kwa siku za hivi karibuni?

Ukweli ni kwamba sio Nchimbi tu alieamua kukaa kimya, bali ni wazi hata wana-CCM wengine nao sasa wameanza kuona kuna tatizo sema tu hawawezi kutoka front na kutoa kauli.

Mmejiuliza viongozi wa CCM ngazi ya Taifa, mikoa na wilaya wako wapi katika kuetea chama na serikali?
 
Ukiacha wateule wake wachache na viongozi wachache wa kiisllamu, mmesikia viongozi Jumuiya za CCM kama vile UVCCM, n.k wakijitokeza hadharani kumtetea kwa siku za hivi karibuni?

Ukweli ni kwamba sio Nchimbi tu alieamua kukaa kimya, bali ni wazi hara wana-CCM wengi sasa wameanza kuona kuna tatizo sema tu hawawezi kutoka front na kutoa kauli.
kama kuna mtanganyika bado anamtukuza huyu mama uwe kwenye chama chochote cha siasa uwe kwenye dini yeyote au cheo chochote wewe utakuwa ni mpumbavu wa mwisho kwenye hii dunia watoto aliowaua kinyama na kuwazika kama mbwa vichaa ni watoto wa kitanganyika utaungana nae kwenye hiyo laana na vizazi vyako vyoote pumbavu kabisa!
na ninawakumbusha ndugu zangu kuna siku atarudi kwenye ardhi ya kwao yaani nchi yake ya asili nyie watanganyika mnaomshabikia mtabaki na aibu na mtaumia mioyo yenu kuliko sisi kuna siku tanganyika itabaki peke yake na zanzibar itabaki peke yake vizazi vinabadilika wekeni kumbukumbu hii!!
Screenshot_20251124_154912.jpg
 
kama kuna mtanganyika bado anamtukuza huyu mama uwe kwenye chama chochote cha siasa uwe kwenye dini yeyote au cheo chochote wewe utakuwa ni mpumbavu wa mwisho kwenye hii dunia watoto aliowaua kinyama na kuwazika kama mbwa vichaa ni watoto wa kitanganyika utaungana nae kwenye hiyo laana na vizazi vyako vyoote pumbavu kabisaView attachment 3511431
So sad 😢
 
Amewahonga masheikh ubwabwa kupandikiza mbegu ya udini.

Masheikh ubwabwa walivyokosa akili wamemvamia hadi Makamu ya Rais Nchimbi naye wamemtenga kwa sababu ya udini.

Ccm hakuna mwenye akili pale. Kile ni kikundi cha washenzi na wanywa damu za watu. Wale ndo chanzo cha Taifa kufikia hapa tulipofikia.
 
Saaa hivi hata Wassira kaanza kuwa mpole tofauti na siku za nyuma
Wassira tangu asalimiwe hana hamu Tena ya kuwa kimbembele. Kanusa kaona asipokuwa makini, raia watakuja kumsalimia yeye kama yeye.

Na sio wassira tu, wengi wameshaona kabisa wasipokuwa makini huko mitaani wanapoishi hapatakalika kutokana na wizi wao waliofanya.
 
Wassira tangu asalimiwe hana hamu Tena ya kuwa kimbembele. Kanusa kaona asipokuwa makini, raia watakuja kumsalimia yeye kama yeye.

Na sio wassira tu, wengi wameshaona kabisa wasipokuwa makini huko mitaani wanapoishi hapatakalika kutokana na wizi wao waliofanya.
Sasahivi akienda Bunda anafikia kwa ndugu😄
 
Ukiacha wateule wake wachache na viongozi wachache wa Kiisllamu, mmesikia viongozi Jumuiya za CCM kama vile UVCCM, UWT, n.k wakijitokeza hadharani kumtetea kwa siku za hivi karibuni?

Ukweli ni kwamba sio Nchimbi tu alieamua kukaa kimya, bali ni wazi hata wana-CCM wengine nao sasa wameanza kuona kuna tatizo sema tu hawawezi kutoka front na kutoa kauli.
CCM hawawezi kwenda kinyume na boss wao.

Hawajamtenga ila hawana cha kutetea....kwa kadhia ya Oktoba 29.

Haya Mambo yameshakuwa makubwa,ya kidunia.

Hivi UVCCM au UWT wanaweza kujibu nini kwa EU au maseneta wa USA?

Ikiwa hata mawaziri wenyewr hawawezi.

Msigwa aliweza kuwajibu CNN?

MAMBO hayo ni mazito sana kwa uelewa wao.

Hao masheikh hakuna wanachojibu, wao wanapayuka kwa kupewa scripts na kutembea nazo.
 
Back
Top Bottom