The liver between
Senior Member
- Mar 9, 2012
- 184
- 314
Nimemwona
Bora bangi unaweza kujitetea sasa hayo majezi ya ccm au pikipiki za ccm na baiskeli zao ole wako uonekane nayo hapa TundumaKWetu huku hata jezi za CCM mwisho kuoneka ilikuwa tarehe 29 October,huku bora ukamatwe na bangi lkn sio kukutwa na nguo yenye picha ya Samuya... lazima tukutahiri bila ganzi