Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu
Hii roboti huwa haichelewi kujibu!Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu
Acheni ujinga wenu hapa. Watanzania mamillioni kwa mamillioni tupo na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Hii roboti huwa haichelewi kujibu!
wajifunze kwa dr mpangoCCM hawawezi kwenda kinyume na boss wao.
Hawajamtenga ila hawana cha kutetea....kwa kadhia ya Oktoba 29.
Haya Mambo yameshakuwa makubwa,ya kidunia.
Hivi UVCCM au UWT wanaweza kujibu nini kwa EU au maseneta wa USA?
Ikiwa hata mawaziri wenyewr hawawezi.
Msigwa aliweza kuwajibu CNN?
MAMBO hayo ni mazito sana kwa uelewa wao.
Hao masheikh hakuna wanachojibu, wao wanapayuka kwa kupewa scripts na kutembea nazo.
Mashehe ubwabwa wakumbushwe hili la Wassira, maana wamekaririshwa kuwa ni TEC wanalenga dini yao. Wassira ni mkristo ila cha moto alikiona, tena kutoka kwa Wakristo wenzake, ndugu na jamaa zake wa nyumbani kwao alikozaliwa, Bunda.Wassira tangu asalimiwe hana hamu Tena ya kuwa kimbembele. Kanusa kaona asipokuwa makini, raia watakuja kumsalimia yeye kama yeye.
Na sio wassira tu, wengi wameshaona kabisa wasipokuwa makini huko mitaani wanapoishi hapatakalika kutokana na wizi wao waliofanya.
🥺🥺🥺🥺😭😭😭kama kuna mtanganyika bado anamtukuza huyu mama uwe kwenye chama chochote cha siasa uwe kwenye dini yeyote au cheo chochote wewe utakuwa ni mpumbavu wa mwisho kwenye hii dunia watoto aliowaua kinyama na kuwazika kama mbwa vichaa ni watoto wa kitanganyika utaungana nae kwenye hiyo laana na vizazi vyako vyoote pumbavu kabisa!
na ninawakumbusha ndugu zangu kuna siku atarudi kwenye ardhi ya kwao yaani nchi yake ya asili nyie watanganyika mnaomshabikia mtabaki na aibu na mtaumia mioyo yenu kuliko sisi kuna siku tanganyika itabaki peke yake na zanzibar itabaki peke yake vizazi vinabadilika wekeni kumbukumbu hii!!
View attachment 3511431
Wameshtuka kwamba wapo ndani ya jahazi linaloyumba kwa hiyo kila mmoja yuko kimya kuangalia mwendo na uelekeo wa jahazi ili likipinduka kila mmoja arukie upande wake.Ukiacha wateule wake wachache na viongozi wachache wa Kiisllamu, mmesikia viongozi wa Jumuiya za CCM kama vile UVCCM, UWT, n.k wakijitokeza hadharani kumtetea kwa siku za hivi karibuni?
Ukweli ni kwamba sio Nchimbi tu alieamua kukaa kimya, bali ni wazi hata wana-CCM wengine nao sasa wameanza kuona kuna tatizo sema tu hawawezi kutoka front na kutoa kauli.
Mmejiuliza viongozi wa CCM ngazi ya Taifa, mikoa na wilaya wako wapi katika kuetea chama na serikali?
Ni kweli kabisa nyumba yake ilichomwa moto pamoja na mahakama ya mwanzo apa bundaHivi ni kweli nyumba yake ilichomwa?
Dr wa mipashoKwanza ni daktari wa nini?
Usiseme watanzania,sema wauaji mpo na muuaji wenu.Acheni ujinga wenu hapa. Watanzania mamillioni kwa mamillioni tupo na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Katibu mweneze kimya, Katibu Mkuu kimya, Jumuhiya zote kimya...wabunge kimya....!!!wakijitokeza
Muda umekwisha... wapo huku wanaongea chini kwa chini tu sasa plan ni kuua tena na target ni vijana wa kiume.. muda umekwishaMmejiuliza viongozi wa CCM ngazi ya Taifa, mikoa na wilaya wako wapi katika kuetea chama na serikali?
Muda umekwisha... una D moja utafanya maamuzi gani zaidi ya kufikiria kuua tuKatibu mweneze kimya, Katibu Mkuu kimya, Jumuhiya zote kimya...wabunge kimya....!!!
Nasikia nyumba yake ilipgwa mtoSaaa hivi hata Wassira kaanza kuwa mpole tofauti na siku za nyuma
Unamteteaje muuaji? Huyu hafai hata kuwa mwenyekiti wa mtaaWameshtuka kwamba wapo ndani ya jahazi linaloyumba kwa hiyo kila mmoja yuko kimya kuangalia mwendo na uelekeo wa jahazi ili likipinduka kila mmoja arukie upande wake.
Hawataki kuja kuwa mashahidi mbele ya safari in case anything happens.