Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,914
Ila watasema tu kwa jinsi mambo yanavyoenda maana hata nilivyomsikia Mchungaji Hananja anaelezea kupigwa risasi kaelezea kwa uchungu na kasema wazi watu wana machungu, mauwaji yale yamegusa kila sehemu.Dada mmoja instagramu anaitwa Jackline Mafuru, ukiangalia alichokuwa anapost kuhusu Makonda na Samia…! Tar 29, mapema kabisa mdogo wake ameuawa mbele ya wanae akiwa kwenye seat ya dereva alikuwa anaendesha, ameawa mbele ya watoto wake na hao wavuta bangi mapolisi/task force au jina lolote tutakalowapa.
Hii ngoma imekita kila sehemu, ni vile tu wana CCM wanaogopa kukiri hadharani kuwa nao wamefiwa….