Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Saaa hivi hata Wassira kaanza kuwa mpole tofauti na siku za nyumaIn the end kila side itagundua huwez kumtetea
Bashiu anamatatizoSaaa hivi hata Wassira kaanza kuwa mpole tofauti na siku za nyuma
Chawa mwandamizi mzee wa kusinzia naye anajitenga kiaina?Saaa hivi hata Wassira kaanza kuwa mpole tofauti na siku za nyuma
kama kuna mtanganyika bado anamtukuza huyu mama uwe kwenye chama chochote cha siasa uwe kwenye dini yeyote au cheo chochote wewe utakuwa ni mpumbavu wa mwisho kwenye hii dunia watoto aliowaua kinyama na kuwazika kama mbwa vichaa ni watoto wa kitanganyika utaungana nae kwenye hiyo laana na vizazi vyako vyoote pumbavu kabisa!Ukiacha wateule wake wachache na viongozi wachache wa kiisllamu, mmesikia viongozi Jumuiya za CCM kama vile UVCCM, n.k wakijitokeza hadharani kumtetea kwa siku za hivi karibuni?
Ukweli ni kwamba sio Nchimbi tu alieamua kukaa kimya, bali ni wazi hara wana-CCM wengi sasa wameanza kuona kuna tatizo sema tu hawawezi kutoka front na kutoa kauli.
So sad 😢kama kuna mtanganyika bado anamtukuza huyu mama uwe kwenye chama chochote cha siasa uwe kwenye dini yeyote au cheo chochote wewe utakuwa ni mpumbavu wa mwisho kwenye hii dunia watoto aliowaua kinyama na kuwazika kama mbwa vichaa ni watoto wa kitanganyika utaungana nae kwenye hiyo laana na vizazi vyako vyoote pumbavu kabisaView attachment 3511431
Wassira tangu asalimiwe hana hamu Tena ya kuwa kimbembele. Kanusa kaona asipokuwa makini, raia watakuja kumsalimia yeye kama yeye.Saaa hivi hata Wassira kaanza kuwa mpole tofauti na siku za nyuma
Sasahivi akienda Bunda anafikia kwa ndugu😄Wassira tangu asalimiwe hana hamu Tena ya kuwa kimbembele. Kanusa kaona asipokuwa makini, raia watakuja kumsalimia yeye kama yeye.
Na sio wassira tu, wengi wameshaona kabisa wasipokuwa makini huko mitaani wanapoishi hapatakalika kutokana na wizi wao waliofanya.
CCM hawawezi kwenda kinyume na boss wao.Ukiacha wateule wake wachache na viongozi wachache wa Kiisllamu, mmesikia viongozi Jumuiya za CCM kama vile UVCCM, UWT, n.k wakijitokeza hadharani kumtetea kwa siku za hivi karibuni?
Ukweli ni kwamba sio Nchimbi tu alieamua kukaa kimya, bali ni wazi hata wana-CCM wengine nao sasa wameanza kuona kuna tatizo sema tu hawawezi kutoka front na kutoa kauli.
Sitaki kusikia uyu , uyo ni moja ya waliolifikisha hapa taifa, lizee sio mda litakufa ,ila linaamua kushiriki kuangamiza TaifaSaaa hivi hata Wassira kaanza kuwa mpole tofauti na siku za nyuma
Mwenye busara akivuliwa nguo huchutama, Mzee Wasira alitembelewa na vijana kule nyumbani kwakeSaaa hivi hata Wassira kaanza kuwa mpole tofauti na siku za nyuma
Hivi ni kweli nyumba yake ilichomwa?Mwenye busara akivuliwa nguo huchutama, Mzee Wasira alitembelewa na vijana kule nyumbani kwake
Sina kumbukumbu sahihi kama ni yake au ni yayule kijana wake aliyejitokeza kwenye mchakato wa kugombea ubunge.Hivi ni kweli nyumba yake ilichomwa?