Hivi mmegundua hata CCM ni kama wanajitenga na Rais? Anatetewa na masheikh tu sasa

wajifunze kwa dr mpango
 
Mashehe ubwabwa wakumbushwe hili la Wassira, maana wamekaririshwa kuwa ni TEC wanalenga dini yao. Wassira ni mkristo ila cha moto alikiona, tena kutoka kwa Wakristo wenzake, ndugu na jamaa zake wa nyumbani kwao alikozaliwa, Bunda.

Wafahamishwe kuwa umma walishachoka kabisa na mfumo mzima uliopo, siyo mambo ya dini.
Hata Mange wanamuonea bure
 
🥺🥺🥺🥺😭😭😭
 
Wameshtuka kwamba wapo ndani ya jahazi linaloyumba kwa hiyo kila mmoja yuko kimya kuangalia mwendo na uelekeo wa jahazi ili likipinduka kila mmoja arukie upande wake.
Hawataki kuja kuwa mashahidi mbele ya safari in case anything happens.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…