Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,587
- 14,371
Mashekhe na machawaUkiacha wateule wake wachache na viongozi wachache wa Kiisllamu, mmesikia viongozi wa Jumuiya za CCM kama vile UVCCM, UWT, n.k wakijitokeza hadharani kumtetea kwa siku za hivi karibuni?
Ukweli ni kwamba sio Nchimbi tu alieamua kukaa kimya, bali ni wazi hata wana-CCM wengine nao sasa wameanza kuona kuna tatizo sema tu hawawezi kutoka front na kutoa kauli.
Mmejiuliza viongozi wa CCM ngazi ya Taifa, mikoa na wilaya wako wapi katika kuetea chama na serikali?
Mkuu, huu ukimya si bure, bali kuna jambo nyuma yake.Katibu mweneze kimya, Katibu Mkuu kimya, Jumuhiya zote kimya...wabunge kimya....!!!
Ukiacha wateule wake wachache na viongozi wachache wa Kiisllamu, mmesikia viongozi wa Jumuiya za CCM kama vile UVCCM, UWT, n.k wakijitokeza hadharani kumtetea kwa siku za hivi karibuni?
Ukweli ni kwamba sio Nchimbi tu alieamua kukaa kimya, bali ni wazi hata wana-CCM wengine nao sasa wameanza kuona kuna tatizo sema tu hawawezi kutoka front na kutoa kauli.
Mmejiuliza viongozi wa CCM ngazi ya Taifa, mikoa na wilaya wako wapi katika kuetea chama na serikali?
Naunga mkono hojaCCM hawawezi kwenda kinyume na boss wao.
Hawajamtenga ila hawana cha kutetea....kwa kadhia ya Oktoba 29.
Haya Mambo yameshakuwa makubwa,ya kidunia.
Hivi UVCCM au UWT wanaweza kujibu nini kwa EU au maseneta wa USA?
Ikiwa hata mawaziri wenyewr hawawezi.
Msigwa aliweza kuwajibu CNN?
MAMBO hayo ni mazito sana kwa uelewa wao.
Hao masheikh hakuna wanachojibu, wao wanapayuka kwa kupewa scripts na kutembea nazo.
Nasikia wakati wa maandamano Wassira alikuwa kwenye Hotel moja jijini Mwanza iliyopo barabara ya kuelekea uwanja wa ndege, basi mwenye hotel akasikia tetesi Gen Z wameishanusa harufu ya Wassira alipo na muda wowote watakinukisha, akawapigia simu "serikali" waje wamchukua la sivyo anamfukuza hotelini. Muda mfupi wajeda wakatia timu na kumkimbiza kambini.Wassira tangu asalimiwe hana hamu Tena ya kuwa kimbembele. Kanusa kaona asipokuwa makini, raia watakuja kumsalimia yeye kama yeye.
Na sio wassira tu, wengi wameshaona kabisa wasipokuwa makini huko mitaani wanapoishi hapatakalika kutokana na wizi wao waliofanya.
KWetu huku hata jezi za CCM mwisho kuoneka ilikuwa tarehe 29 October,huku bora ukamatwe na bangi lkn sio kukutwa na nguo yenye picha ya Samuya... lazima tukutahiri bila ganziUkiacha wateule wake wachache na viongozi wachache wa Kiisllamu, mmesikia viongozi wa Jumuiya za CCM kama vile UVCCM, UWT, n.k wakijitokeza hadharani kumtetea kwa siku za hivi karibuni?
Ukweli ni kwamba sio Nchimbi tu alieamua kukaa kimya, bali ni wazi hata wana-CCM wengine nao sasa wameanza kuona kuna tatizo sema tu hawawezi kutoka front na kutoa kauli.
Mmejiuliza viongozi wa CCM ngazi ya Taifa, mikoa na wilaya wako wapi katika kuetea chama na serikali?
Ni kama vile anataka kuichoma nchi, then yeye arudi nchini kwake. Watanganyika hatuna udini.Amewahonga washeikh ubwabwa kupandikiza mbegu ya udini.
Masheikh ubwabwa walivyokosa akili wamemvamia hadi Makamu ya Rais Nchimbi naye wamemtenga kwa sababu ya udini.
Ccm hakuna mwenye akili pale. Kile ni kikundi cha washenzi na wanywa damu za watu. Wale ndo chanzo cha Taifa kufikia hapa tulipofikia.
Huyu kibibi ni shetani. Ameshavuka hadi level ya kuwa tishio kwa usalama wa Taifa.Ni kama vile anataka kuichoma nchi, then yeye arudi nchini kwake. Watanganyika hatuna udini.
Da inaumiza sana kwa kwelikama kuna mtanganyika bado anamtukuza huyu mama uwe kwenye chama chochote cha siasa uwe kwenye dini yeyote au cheo chochote wewe utakuwa ni mpumbavu wa mwisho kwenye hii dunia watoto aliowaua kinyama na kuwazika kama mbwa vichaa ni watoto wa kitanganyika utaungana nae kwenye hiyo laana na vizazi vyako vyoote pumbavu kabisa!
na ninawakumbusha ndugu zangu kuna siku atarudi kwenye ardhi ya kwao yaani nchi yake ya asili nyie watanganyika mnaomshabikia mtabaki na aibu na mtaumia mioyo yenu kuliko sisi kuna siku tanganyika itabaki peke yake na zanzibar itabaki peke yake vizazi vinabadilika wekeni kumbukumbu hii!!
View attachment 3511431
mchumq janga sasa hivi anakula mwenyewe, mqmbo yq wqhenga eti mchumq janga hulq na nduguye halipo tenaUkiacha wateule wake wachache na viongozi wachache wa Kiisllamu, mmesikia viongozi wa Jumuiya za CCM kama vile UVCCM, UWT, n.k wakijitokeza hadharani kumtetea kwa siku za hivi karibuni?
Ukweli ni kwamba sio Nchimbi tu alieamua kukaa kimya, bali ni wazi hata wana-CCM wengine nao sasa wameanza kuona kuna tatizo sema tu hawawezi kutoka front na kutoa kauli.
Mmejiuliza viongozi wa CCM ngazi ya Taifa, mikoa na wilaya wako wapi katika kuetea chama na serikali?
Njaa yako imekufanya umekuwa taahira mwandamiziNaona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu
kukuita robot tumekupandisha cheo ...wewe ni msukule wa samuyaAcheni ujinga wenu hapa. Watanzania mamillioni kwa mamillioni tupo na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Kitendo cha wale mashehe kuanza kumtupia lawama Dr Nchimbi ujue mambo hayapo sawa, wamewatangazia wanachama jambo baya.Ukiacha wateule wake wachache na viongozi wachache wa Kiisllamu, mmesikia viongozi wa Jumuiya za CCM kama vile UVCCM, UWT, n.k wakijitokeza hadharani kumtetea kwa siku za hivi karibuni?
Ukweli ni kwamba sio Nchimbi tu alieamua kukaa kimya, bali ni wazi hata wana-CCM wengine nao sasa wameanza kuona kuna tatizo sema tu hawawezi kutoka front na kutoa kauli.
Mmejiuliza viongozi wa CCM ngazi ya Taifa, mikoa na wilaya wako wapi katika kuetea chama na serikali?
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama mazuzukukuita robot tumekupandisha cheo ...wewe ni msukule wa samuya