Hivi mmegundua hata CCM ni kama wanajitenga na Rais? Anatetewa na masheikh tu sasa

Kingine wanaangalia zaidi future zao kuliko kumtetea rais anayemaliza mda wake
 
Huo ni uongo CCM wanafurahia haya mauaji. CCM sio wa kuwaamini.
Ina ukweli ndani yake. Hata wakati ana hutubia wazee wa sisiyem waliripuka na shangwe la kushangilia.
Aibu nilikua naona Mimi mtazamaji. Yaani kushangilia kusutwa kule kulihitaji uwe na akili bandia ndio uweze kushangilia.
 
Police wenyewe wanagopa huwezi kuona hata mmoja anazunguka na magwanda yake road sembuse hao machawa?
 
Lipo wazi kwa sasa ccm zanzibar inataka kuovertake ccm tanganyika na hapo ndio itakuwa utata balaa lenyewe litakuja 2029 ccm watavurugana vipaya sana.
Sioni utulivu huko mbele hali inaweza kuwa mbaya zaidi ya 2025.
 
Ccm na polisi wote ni wahuni na wauaji hawawezi kujitenga na uovu wao.

Ni jukumu letu kujibu mapigo D9 na kuendelea.

Mara hii tuwaonyeshe watanhanyika tinajali utaifa wetu na uhuru wetu ni tunu yetu.
 
Hata wakati wa kupigania uhuru, historia kwamba makanisa yalikuwa upande wa wazungu, jumuia nyingi zilikua kwa wazungu, waislam walishikamana na nyerere kudai uhuru, hata sasa kipindi hichi waislam wapo front kupigania Tanzania yao, tukishinda matunda tuje kula pamoja kivulini na hao ambao sasa wapo kimya. Au nakosea wadau? Waislam hatuna kinyongo
 
😂😂😂😂😂😂
 
Salary Slip kumshabikia Samuya ni kujitafutia kwenda ICC, yaani ndani ya CCM tunamuomba Mungu amuondoe kabisa nchi ianze upya. Kajitahidi kujenga uchumi vizuri na mahusiano ya nje ila cha ajabu siasa za ndani kaharibu kabisa kwa mauaji na utekaji.
 
Komredi Lucas Mwashambwa mbona tayari kashajibu kupitia nyuzi kadhaa?
 
Hiyo kauli was a ticket ya anguko lake rasimi. JK very humble
 
Unaweza jitahidi kumtetea ila kuna namna unafika unaona wazi Samuya kazingua sio kidogo!
Wenda hata yeye akiwa chumbani waga analia sana.
 
Hao ccm nao lazima tu watakuwa wamefiwa na ndugu zao pia.
Dada mmoja instagramu anaitwa Jackline Mafuru, ukiangalia alichokuwa anapost kuhusu Makonda na Samia…! Tar 29, mapema kabisa mdogo wake ameuawa mbele ya wanae akiwa kwenye seat ya dereva alikuwa anaendesha, ameawa mbele ya watoto wake na hao wavuta bangi mapolisi/task force au jina lolote tutakalowapa.

Hii ngoma imekita kila sehemu, ni vile tu wana CCM wanaogopa kukiri hadharani kuwa nao wamefiwa….
 
Whats the use of patching a sinking ship? Just jump outta it...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…