Dada mmoja instagramu anaitwa Jackline Mafuru, ukiangalia alichokuwa anapost kuhusu Makonda na Samia…! Tar 29, mapema kabisa mdogo wake ameuawa mbele ya wanae akiwa kwenye seat ya dereva alikuwa anaendesha, ameawa mbele ya watoto wake na hao wavuta bangi mapolisi/task force au jina lolote tutakalowapa.
Hii ngoma imekita kila sehemu, ni vile tu wana CCM wanaogopa kukiri hadharani kuwa nao wamefiwa….