Wivuuuuu....wivuuuuu ππππGari ya nifa , ya mchina haina mda πππ ila kwa voice within me Pascal Mayalla naiona kama takataka na toi la kuchezea watoto wadogoπ€
Xi Jinping
Acha kuchamba umbea chuma kali ile Jetour
Hahaha Picha basiKaagiza chuma ya kichinaπ π kali kwa muonekano
Haya magari ya kichina afrika yamesababisha majanga makubw mno, wanayapa mwonekano tu hayo mabox πMabasi ya kichina mlisema mabovu, leo yametawala barabarani. Trucks same thing, leo Howo zinatawala. Simu pia ilikuwa hivyo hivyo leo mchina kashika soko la Africa. Ni suala la muda tu.
Magari ya kichina yana bei nafuu na features za kutosha. Kuna gari taa zake za mbele ni projector unawasha unaangalia movie, lakini bei kitonga. Hiyo feature ukiikuta kwenye gari la Mmarekani au Mjerumani, utalipia hadi figo π€£
Matoy...? Hayo ma yutong na zongtong ni matoy yanatoka mwanza hadi mbeya π πKa hayo matoi au kupi?
Usibishene sana huyo kalewaMatoy...? Hayo ma yutong na zongtong ni matoy yanatoka mwanza hadi mbeya π π
Kanunua Jetour T2 all of a sudden it's 'expensive' and popular than G-Wagon....talking about band wagon!Niffer yule demu wa Instagram? Ameanza kuagiza Magari?
Ni disposable products. Ni mzuri kwa projects za muda mfupi.Mabasi ya kichina mlisema mabovu, leo yametawala barabarani. Trucks same thing, leo Howo zinatawala. Simu pia ilikuwa hivyo hivyo leo mchina kashika soko la Africa. Ni suala la muda tu.
Magari ya kichina yana bei nafuu na features za kutosha. Kuna gari taa zake za mbele ni projector unawasha unaangalia movie, lakini bei kitonga. Hiyo feature ukiikuta kwenye gari la Mmarekani au Mjerumani, utalipia hadi figo π€£
Hayafikishi 5yrs yanarudi trip za wilayani.Matoy...? Hayo ma yutong na zongtong ni matoy yanatoka mwanza hadi mbeya π π