Hivi Mnadhani CCM iliingia madarakani kwa kusonyana na kusuta a Kama wafanyavyo CHADEMA?

05CUBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2025
Posts
1,106
Reaction score
1,650
Kila siku wakiamka ni mwendo wa kunyosheana vidole... Huyu kanunuliwa, yule katumwa, huyu mamruki, Yale namna GANI huyu namna Ile.

Hivi watu emwa hii Tanzania wanadhani kuchukua nchi ni lelemama Sana ???

WanaCHADEMA wanaodhani upinzani unaposhinda pale Kenya, south, Zambia na nchi zingine huwa wanashinda kwa kusonyana Kama watoto wa kike ambao hawajavunja ungo WANATOKA wapi hizo fikra ???

Yani Viongozi wamejawa hasira na niwakurupukaji utadhani soda ya Pepsi. Mnadhani ndo wanaweza kumantain Ile Nguvu unahitajika kushika nchi ???

Mlianza zamani Sana mkiwafukuza kina zito labwe na kitila mkumbo.... mdhani Ile ndo namna sahihi ya kusuruhisha kuliko kukaa kukanyama Chini kistaarabu ??.

Mnadhani hiyo ndo namna chama Dola KINAWEZA operate ??

Huwa nimewaomba Mara kadhaa hata mnipangie serikali kimvuli as for now we are speaking hatuwaelewi mtasimamoa vipi serikali Ila zaidi ya matusi hakuna mnachoeleza.

Hata mawaziri wa level yeboyebo Kama hao wa CCM mnaowadharau hamna na kama wap hawafiki hata 10.

Kila siku kulaumu eti CCM inanunua Viongozi wenu. Ivi kwanini wananumulika kiwepesi sana Hawa jamaa.

CHADEMA Mnadhani nchi inaendeshwa kwa mihemko Sio ???

Ni kwa mikakati gani mnaenda kuchukua Dola heb tuambieni .. MKISHA ZIRA KUSHIRIKI UCHAGUZI NDO MTAAPISHWA au mtatumia njia gani hasa ?

toeni majibu tafadhari Sio matusi.
 
Ivi watu emwa hii tz wanadhani kuchukua nchi ni lelemama Sana ???
Wanachadema wanaodhani upinzani unaposhinda pale Kenya, south, Zambia na nchi zingine huwa wanashinda kwa kusonyana Kama watoto wa kike ambao hawajavunja ungo WANATOKA wapi hizo fikra ???

Yani Viongozi wamejawa hasira na niwakurupukaji utadhani soda ya Pepsi. Mnadhani ndo wanaweza kumantain Ile Nguvu unahitajika kushika nchi ???

Mlianza zamani Sana mkiwafukuza kina zito labwe na kitila mkumbo.... mdhani Ile ndo namna sahihi ya kusuruhisha kuliko kukaa kukanyama Chini kistaarabu ??.

Mnadhani hiyo ndo namna chama Dola KINAWEZA operate ??

Huwa nimewaomba Mara kadhaa hata mnipangie serikali kimvuli as for now we are speaking hatuwaelewi mtasimamoa vipi serikali Ila zaidi ya matusi hakuna mnachoeleza.

hata mawaziri wa level yeboyebo Kama hao wa CCM mnaowadharau hamna na kama wap hawafiki hata 10.

Kila siku kulaumu eti CCM inanunua Viongozi wenu. Ivi kwanini wananumulika kiwepesi sana Hawa jamaa.

CHADEMA Mnadhani nchi inaendeshwa kwa mihemko Sio ???

Ni kwa mikakati gani mnaenda kuchukua Dola heb tuambieni .. MKISHA ZIRA KUSHIRIKI UCHAGUZI NDO MTAAPISHWA au mtatumia njia gani hasa ?

toeni majibu tafadhari Sio matusi.
Unataka tukujibu njia tutakayotumia, muanze Harakati za Kutuua mapema ??

Kizazi mbatata wewe.
 
Hoja zako ndo zimeishia hapo mkuu ?
Mpaka nilipoishia kusoma sijaona hoja.
Huwa napata kichefuchefu cha ubongo nikikutana na makosa mengi ya kiuandishi, hivyo nimeishia hapo ulipoandika "Hivi watu emwa hii Tanzania wanadhani kuchukua nchi ni lelemama Sana ???".
" emwa" ni kitu gani!!?

Hivi hata kuandika hujui, unaweza kuwa na hoja kweli!!?
Jina la mtu linaandikwa hivyo ulivyoandika!!?
Hoja zako ndo zimeishia hapo mkuu ?
 
Kila siku wakiamka ni mwendo wa kunyosheana vidole... Huyu kanunuliwa, yule katumwa, huyu mamruki, Yale namna GANI huyu namna Ile.

Hivi watu emwa hii Tanzania wanadhani kuchukua nchi ni lelemama Sana ???

WanaCHADEMA wanaodhani upinzani unaposhinda pale Kenya, south, Zambia na nchi zingine huwa wanashinda kwa kusonyana Kama watoto wa kike ambao hawajavunja ungo WANATOKA wapi hizo fikra ???

Yani Viongozi wamejawa hasira na niwakurupukaji utadhani soda ya Pepsi. Mnadhani ndo wanaweza kumantain Ile Nguvu unahitajika kushika nchi ???

Mlianza zamani Sana mkiwafukuza kina zito labwe na kitila mkumbo.... mdhani Ile ndo namna sahihi ya kusuruhisha kuliko kukaa kukanyama Chini kistaarabu ??.

Mnadhani hiyo ndo namna chama Dola KINAWEZA operate ??

Huwa nimewaomba Mara kadhaa hata mnipangie serikali kimvuli as for now we are speaking hatuwaelewi mtasimamoa vipi serikali Ila zaidi ya matusi hakuna mnachoeleza.

Hata mawaziri wa level yeboyebo Kama hao wa CCM mnaowadharau hamna na kama wap hawafiki hata 10.

Kila siku kulaumu eti CCM inanunua Viongozi wenu. Ivi kwanini wananumulika kiwepesi sana Hawa jamaa.

CHADEMA Mnadhani nchi inaendeshwa kwa mihemko Sio ???

Ni kwa mikakati gani mnaenda kuchukua Dola heb tuambieni .. MKISHA ZIRA KUSHIRIKI UCHAGUZI NDO MTAAPISHWA au mtatumia njia gani hasa ?

toeni majibu tafadhari Sio matusi.
Wataishia kukutukana halafu watakwambia wanapendwa sana nchi hii. Na Mimi naamini LAZIMA uwe Kichaa kwanza ndio uwe Chadema.
 
Haya Rudi kwenye hoja Sasa.

Elewa kwamba
harakati za kuchukua dola enz hizo TANU ilichukua dola kwa kutaka uhuru wa raia kutoka kwa wakoloni
ccm ilichukua nchi kiulaini bila jasho wala harakati
Zama zimebadilika

Ukombozi wa sasa ni kutoka kwa mkoloni mweusi kwa namna yoyote
 
Mpaka nilipoishia kusoma sijaona hoja.
Huwa napata kichefuchefu cha ubongo nikikutana na makosa mengi ya kiuandishi, hivyo nimeishia hapo ulipoandika "Hivi watu emwa hii Tanzania wanadhani kuchukua nchi ni lelemama Sana ???".
" emwa" ni kitu gani!!?

Hivi hata kuandika hujui, unaweza kuwa na hoja kweli!!?
Jina la mtu linaandikwa hivyo ulivyoandika!!?

Thread kama hizi, sio za kuchangia mada
ni kupoteza muda tu
 
Mpaka nilipoishia kusoma sijaona hoja.
Huwa napata kichefuchefu cha ubongo nikikutana na makosa mengi ya kiuandishi, hivyo nimeishia hapo ulipoandika "Hivi watu emwa hii Tanzania wanadhani kuchukua nchi ni lelemama Sana ???".
" emwa" ni kitu gani!!?

Hivi hata kuandika hujui, unaweza kuwa na hoja kweli!!?
Jina la mtu linaandikwa hivyo ulivyoandika!!?

Typing error ndo ikuchefie ukose hoja ... Acha zako wewe upo empty headed tu.

Kitaalamu ktk lugha Kuna kitu kinaitwa errors and mistakes... So achana nazo turudi kwenye point ..... Mtawezaje kushika Dola mkuu ?

Mkisha gomea uchaguzi alafu nani atawaapisha ?🤣🤣🤣.
 
Kila siku wakiamka ni mwendo wa kunyosheana vidole... Huyu kanunuliwa, yule katumwa, huyu mamruki, Yale namna GANI huyu namna Ile.

Hivi watu emwa hii Tanzania wanadhani kuchukua nchi ni lelemama Sana ???

WanaCHADEMA wanaodhani upinzani unaposhinda pale Kenya, south, Zambia na nchi zingine huwa wanashinda kwa kusonyana Kama watoto wa kike ambao hawajavunja ungo WANATOKA wapi hizo fikra ???

Yani Viongozi wamejawa hasira na niwakurupukaji utadhani soda ya Pepsi. Mnadhani ndo wanaweza kumantain Ile Nguvu unahitajika kushika nchi ???

Mlianza zamani Sana mkiwafukuza kina zito labwe na kitila mkumbo.... mdhani Ile ndo namna sahihi ya kusuruhisha kuliko kukaa kukanyama Chini kistaarabu ??.

Mnadhani hiyo ndo namna chama Dola KINAWEZA operate ??

Huwa nimewaomba Mara kadhaa hata mnipangie serikali kimvuli as for now we are speaking hatuwaelewi mtasimamoa vipi serikali Ila zaidi ya matusi hakuna mnachoeleza.

Hata mawaziri wa level yeboyebo Kama hao wa CCM mnaowadharau hamna na kama wap hawafiki hata 10.

Kila siku kulaumu eti CCM inanunua Viongozi wenu. Ivi kwanini wananumulika kiwepesi sana Hawa jamaa.

CHADEMA Mnadhani nchi inaendeshwa kwa mihemko Sio ???

Ni kwa mikakati gani mnaenda kuchukua Dola heb tuambieni .. MKISHA ZIRA KUSHIRIKI UCHAGUZI NDO MTAAPISHWA au mtatumia njia gani hasa ?

toeni majibu tafadhari Sio matusi.
Bob Wine wa Uganda hajawahi kutaaa kushiri uchaguzi mbali na ukatili wa Museveni.Lengo kuu la chama Cha siasa ni kushika dola .Kama hutaki kushika dola wewe ni SACCOS,CHAMA CHA WAKULIMA,CHAMA CHA WALIMU
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Elewa kwamba
harakati za kuchukua dola enz hizo TANU ilichukua dola kwa kutaka uhuru wa raia kutoka kwa wakoloni
ccm ilichukua nchi kiulaini bila jasho wala harakati
Zama zimebadilika

Ukombozi wa sasa ni kutoka kwa mkoloni mweusi kwa namna yoyote

Kiongozi ahsante Sana kwa hoja ....

Sasa nikiwa napenda watu wenye hoja Kama wewe naomba kufahamu... Unadhani Chadema kukosa utulivu wa ndani ya chama no dalili njema ktk mapambano ?
 
Kila siku wakiamka ni mwendo wa kunyosheana vidole... Huyu kanunuliwa, yule katumwa, huyu mamruki, Yale namna GANI huyu namna Ile.

Hivi watu emwa hii Tanzania wanadhani kuchukua nchi ni lelemama Sana ???

WanaCHADEMA wanaodhani upinzani unaposhinda pale Kenya, south, Zambia na nchi zingine huwa wanashinda kwa kusonyana Kama watoto wa kike ambao hawajavunja ungo WANATOKA wapi hizo fikra ???

Yani Viongozi wamejawa hasira na niwakurupukaji utadhani soda ya Pepsi. Mnadhani ndo wanaweza kumantain Ile Nguvu unahitajika kushika nchi ???

Mlianza zamani Sana mkiwafukuza kina zito labwe na kitila mkumbo.... mdhani Ile ndo namna sahihi ya kusuruhisha kuliko kukaa kukanyama Chini kistaarabu ??.

Mnadhani hiyo ndo namna chama Dola KINAWEZA operate ??

Huwa nimewaomba Mara kadhaa hata mnipangie serikali kimvuli as for now we are speaking hatuwaelewi mtasimamoa vipi serikali Ila zaidi ya matusi hakuna mnachoeleza.

Hata mawaziri wa level yeboyebo Kama hao wa CCM mnaowadharau hamna na kama wap hawafiki hata 10.

Kila siku kulaumu eti CCM inanunua Viongozi wenu. Ivi kwanini wananumulika kiwepesi sana Hawa jamaa.

CHADEMA Mnadhani nchi inaendeshwa kwa mihemko Sio ???

Ni kwa mikakati gani mnaenda kuchukua Dola heb tuambieni .. MKISHA ZIRA KUSHIRIKI UCHAGUZI NDO MTAAPISHWA au mtatumia njia gani hasa ?

toeni majibu tafadhari Sio matusi.
CCM haikuwahi ingia madarakani bali iliundwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Bob Wine wa Uganda hajawahi kutaaa kushiri uchaguzi mbali na ukatili wa Museveni.Lengo kuu la chama Cha siasa ni kushika dola .Kama hutaki kushika dola wewe ni SACCOS,CHAMA CHA WAKULIMA,CHAMA CHA WALIMU
Bob Wine wa Uganda hajawahi kutaaa kushiri uchaguzi mbali na ukatili wa Museveni.Lengo kuu la chama Cha siasa ni kushika dola .Kama hutaki kushika dola wewe ni SACCOS,CHAMA CHA WAKULIMA,CHAMA CHA WALIMU
Jirani yako akiwa na tabia ya kujinyea ndiyo wewe unavua nguo na kutembea soko la kijijini kwenu uchi kabisa?
 
Back
Top Bottom