05CUBA
JF-Expert Member
- Apr 12, 2025
- 1,106
- 1,650
- Thread starter
- #41
Wamemsuta nani
Big question kiongozi.
Hata lissu na mbowe walisutana Sana during uchaguzi wa ndani.
Binafsi naona mizozano ya ndani ya chama ikiwa mingi Sana inaharib attention ya hoja za msingi.
Katika mikwaruzano ya ndani ya chama naona daima huwa hawana utaratibu wa kuketi Chini wakayamaliza na matokeo yake ni watu kuhama chama au kununiana na kutengeneza makundi.
Japo wanaohama ni dhahiri naweza kiri kuwa wanakosea Ila nafikiri pia as chama kinahitaji watu basi kingeondokana na mfumo wa kubwatukiana hadharani na kufukuzana na au kuacha watu waondoke badala yake wangetumia hekima kusonyana na kusolve matatizo kiujumla Kama Viongozi ambao ni vipi vya jamii.