Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Kaoge wewe!Mjinga Kama "m a m a" yako.
Kuna tishu Nene zipo huko kwenu ulipo ?
Kaoge wewe!Mjinga Kama "m a m a" yako.
Kuna tishu Nene zipo huko kwenu ulipo ?
CCM haikuwahi ingia madarakani bali iliundwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Jirani yako akiwa na tabia ya kujinyea ndiyo wewe unavua nguo na kutembea soko la kijijini kwenu uchi kabisa?
CCM wakubali kuwa lengo la Mfumo wa Vyama Vingi siyo kutawala tu bali ni kuwa na ilani zinazotofautiana katika kujenga nchi.Mikinzano ndiyo msingi wa maendeleo mahali popote pale.Hakuna nchi iliyoendelea kwa kuwa na wazo moja.Vyama vingi vya siasa lazima viwe na sera mbadala ambayo kwa vyovyote chama tawala lazima kiumie,lakini uvumilivu wa kisiasa hutatua changamoto zilizopo kupitia sanduku halali za kura na si kusimamiwa na kuamliwa na dola.Hoja nzuri kiongozi.
Vipi harakati za Chadema ZILIZOPO HADI SASA unadhani zinatosha kuipindua meza na kuitoa hii serikali ya CCM ??
bila kupuuza migogoro ya ndani wanayoiendekeza myaka nenda Rudi.
Uwe muelewa.Ukiambiwa ukaoge maana yake wewe ni shoga/unapigwa miti vichakani.Sasa jichekeshe uanze kujitapisha.Shenzi.
Umebandika maji au naenda kuoga matusi yenu ???
🤣🤣🤣
CCM wakubali kuwa lengo la Mfumo wa Vyama Vingi siyo kutawala tu bali ni kuwa na ilani zinazotofautiana katika kujenga nchi.Mikinzano ndiyo msingi wa maendeleo mahali popote pale.Hakuna nchi iliyoendelea kwa kuwa na wazo moja.Vyama vingi vya siasa lazima viwe na sera mbadala ambayo kwa vyovyote chama tawala lazima kiumie,lakini uvumilivu wa kisiasa hutatua changamoto zilizopo kupitia sanduku halali za kura na si kusimamiwa na kuamliwa na dola.
Jirani yako akiwa na tabia ya kujinyea ndiyo wewe unavua nguo na kutembea soko la kijijini kwenu uchi kabisa
Nazungumzia kususia uchaguzi sizungumzii kunya,kivua nguo na uchi.Ndiyomaana G55 mnashindwa kujibu hoja zao mnaishia matusi,dhihaka,matusi na kebehiJirani yako akiwa na tabia ya kujinyea ndiyo wewe unavua nguo na kutembea soko la kijijini kwenu uchi kabisa?
NO REFORM NO ELECTION.Okay kiongozi . Thanks kwa elim nzuri.
Naomba changia basi kidogo juu ya umuhimu wa kuwa na Chadema imara ili kupambana kufikia level nzuri ya kufanikisha kudai mabadiriko yanayohitajika kulingana na hoja ZILIZOPO mezani ktk uwanda wa siasa kwa Sasa .. ikiwemo swala la katiba.
Wamemsuta naniSo how shall Chadema take it out from there ???
Itafanikiwa kwa kusutana kama wanavofanya Viongozi wa Kanda , mikoa na ngazi ya taifa ?
Boga kama wewe ni aidha uliwe au ukanyagwe.Hoja watakupa bunge la Ulaya.Nazungumzia kususia uchaguzi sizungumzii kunya,kivua nguo na uchi.Ndiyomaana G55 mnashindwa kujibu hoja zao mnaishia matusi,dhihaka,matusi na kebehi
Uwe muelewa.Ukiambiwa ukaoge maana yake wewe ni shoga/unapigwa miti vichakani.Sasa jichekeshe uanze kujitapisha.
Nyie mnatetea ushogaBoga kama wewe ni aidha uliwe au ukanyagwe.Hoja watakupa bunge la Ulaya.
Ndugu yangu ni combination of everything, ukweli ni kwamba Tanzania watu wengi wajinga. Mimi nimefika Zambia na ninawajua wazambia, na nina wajua waKenya, mtanzania hawezi kumlinganisha na Mkenya hata kwenye job markets, they are very far!! Tanzania ni nchi ya kilaghai lghai hiviKila siku wakiamka ni mwendo wa kunyosheana vidole... Huyu kanunuliwa, yule katumwa, huyu mamruki, Yale namna GANI huyu namna Ile.
Hivi watu emwa hii Tanzania wanadhani kuchukua nchi ni lelemama Sana ???
WanaCHADEMA wanaodhani upinzani unaposhinda pale Kenya, south, Zambia na nchi zingine huwa wanashinda kwa kusonyana Kama watoto wa kike ambao hawajavunja ungo WANATOKA wapi hizo fikra ???
Yani Viongozi wamejawa hasira na niwakurupukaji utadhani soda ya Pepsi. Mnadhani ndo wanaweza kumantain Ile Nguvu unahitajika kushika nchi ???
Mlianza zamani Sana mkiwafukuza kina zito labwe na kitila mkumbo.... mdhani Ile ndo namna sahihi ya kusuruhisha kuliko kukaa kukanyama Chini kistaarabu ??.
Mnadhani hiyo ndo namna chama Dola KINAWEZA operate ??
Huwa nimewaomba Mara kadhaa hata mnipangie serikali kimvuli as for now we are speaking hatuwaelewi mtasimamoa vipi serikali Ila zaidi ya matusi hakuna mnachoeleza.
Hata mawaziri wa level yeboyebo Kama hao wa CCM mnaowadharau hamna na kama wap hawafiki hata 10.
Kila siku kulaumu eti CCM inanunua Viongozi wenu. Ivi kwanini wananumulika kiwepesi sana Hawa jamaa.
CHADEMA Mnadhani nchi inaendeshwa kwa mihemko Sio ???
Ni kwa mikakati gani mnaenda kuchukua Dola heb tuambieni .. MKISHA ZIRA KUSHIRIKI UCHAGUZI NDO MTAAPISHWA au mtatumia njia gani hasa ?
toeni majibu tafadhari Sio matusi.
Kumbe unayajua matusi?Kibuyu wewe.Ah. We nae japo sijui umri wako Ila naona upo kajinga as I've said ...
Niache na matusi yako... Nipo hapa at least kubadirishana mawazo na watu chanya wenye hoja.