Hivi Mnadhani CCM iliingia madarakani kwa kusonyana na kusuta a Kama wafanyavyo CHADEMA?

Hivi Mnadhani CCM iliingia madarakani kwa kusonyana na kusuta a Kama wafanyavyo CHADEMA?

Typing error ndo ikuchefie ukose hoja ... Acha zako wewe upo empty headed tu.

Kitaalamu ktk lugha Kuna kitu kinaitwa errors and mistakes... So achana nazo turudi kwenye point ..... Mtawezaje kushika Dola mkuu ?

Mkisha gomea uchaguzi alafu nani atawaapisha ?🤣🤣🤣.
Typo ndio unaanza na jina la mtu kwa herufi ndogo, na zaidi ya mara tatu!!??
Tukiandika kuwa CCM haina "human resource" zaidi ya kuwa na mazwazwa wanaopelekeshwa kwa kuwa hawana ubongo, mnasema mnatukanwa!!
 

Attachments

  • downloadfile-31.jpg
    downloadfile-31.jpg
    68.1 KB · Views: 9
  • JamiiForums-1270582057.jpeg
    JamiiForums-1270582057.jpeg
    32.5 KB · Views: 11
  • downloadfile-18.jpg
    downloadfile-18.jpg
    216.9 KB · Views: 7
  • downloadfile-2.jpg
    downloadfile-2.jpg
    180 KB · Views: 11
Ulitaka nijiunge kesho kiongozi. ???

Heb Rudi kwenye point achana na Mimi.
Naona umekuja kwa kasi kama moto wa kifuu. Au ndio hizi id za kuelekea uchaguzi mkuu unaanza kutest mitambo?
 
Kila siku wakiamka ni mwendo wa kunyosheana vidole... Huyu kanunuliwa, yule katumwa, huyu mamruki, Yale namna GANI huyu namna Ile.

Hivi watu emwa hii Tanzania wanadhani kuchukua nchi ni lelemama Sana ???

WanaCHADEMA wanaodhani upinzani unaposhinda pale Kenya, south, Zambia na nchi zingine huwa wanashinda kwa kusonyana Kama watoto wa kike ambao hawajavunja ungo WANATOKA wapi hizo fikra ???

Yani Viongozi wamejawa hasira na niwakurupukaji utadhani soda ya Pepsi. Mnadhani ndo wanaweza kumantain Ile Nguvu unahitajika kushika nchi ???

Mlianza zamani Sana mkiwafukuza kina zito labwe na kitila mkumbo.... mdhani Ile ndo namna sahihi ya kusuruhisha kuliko kukaa kukanyama Chini kistaarabu ??.

Mnadhani hiyo ndo namna chama Dola KINAWEZA operate ??

Huwa nimewaomba Mara kadhaa hata mnipangie serikali kimvuli as for now we are speaking hatuwaelewi mtasimamoa vipi serikali Ila zaidi ya matusi hakuna mnachoeleza.

Hata mawaziri wa level yeboyebo Kama hao wa CCM mnaowadharau hamna na kama wap hawafiki hata 10.

Kila siku kulaumu eti CCM inanunua Viongozi wenu. Ivi kwanini wananumulika kiwepesi sana Hawa jamaa.

CHADEMA Mnadhani nchi inaendeshwa kwa mihemko Sio ???

Ni kwa mikakati gani mnaenda kuchukua Dola heb tuambieni .. MKISHA ZIRA KUSHIRIKI UCHAGUZI NDO MTAAPISHWA au mtatumia njia gani hasa ?

toeni majibu tafadhari Sio matusi.
In fact,
uongozi mpya wa chadema umebarikiwa sana kua na viongozi waandamizi wakurupukaji na waropokaji tupu, wachache sana ndio kama watermelon tu, yaani wao ni bora liende tu kama yule mwenye ndevu nyeupe na mwanasheria wa chama hicho :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom