Hivi Mnadhani CCM iliingia madarakani kwa kusonyana na kusuta a Kama wafanyavyo CHADEMA?

CCM haikuwahi ingia madarakani bali iliundwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


Hoja nzuri kiongozi.

Vipi harakati za Chadema ZILIZOPO HADI SASA unadhani zinatosha kuipindua meza na kuitoa hii serikali ya CCM ??

bila kupuuza migogoro ya ndani wanayoiendekeza myaka nenda Rudi.
 
Jirani yako akiwa na tabia ya kujinyea ndiyo wewe unavua nguo na kutembea soko la kijijini kwenu uchi kabisa?


Okay swali zuri kiongozi.

Sasa unadhani ugomvi wa ndani wa Chadema ni sahihi kuwa unaendekezwa Sana namna hii ??

Huoni Kama hivi vitu vinakibomoa chama na kukiondolea credibility mkuu ??

Kila ikikaribia uchaguzi lazima Chadema ianze kushutumiana na kunyosheana vidole. Is it healthy ???
 
CCM haikuwahi ingia madarakani bali iliundwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


Sawa kiongozi nimekupata .....
Sasa nambie Bila ya Chadema kusimama imara kwa umoja na mshikamano. Unadhani inaweza kuiangusha CCM ??
 
kwataarifa yako kanisa katolic ndilo liliipeleka ccm ,ikulu

kama ulikuwa hujui polekubwa
 
Thread kama hizi, sio za kuchangia mada
ni kupoteza muda tu

Yani unanishangaza ambavo hujatukana. .... 🤣🤣🤣

Kiongozi au wewe ni KAMANDA ambae hujapitia training za kutukana ???
 
Yaani safari hii CCM mshaingia kwenye 18, Reforms ni LAZIMA na si option tena, yaani mtatoa mtake msitake.

Mmeiba kura sana toka 1995 hadi 2020 - hivi mnadhanigi watanganyika ni mazezeta muda wote eee.

Sasa safari hii gari ishapata dereva, Lissu Antipas Mugwai.

Hutaki njoo fastaa twende CHAUMA tukawahi vyeo.
 
Hoja nzuri kiongozi.

Vipi harakati za Chadema ZILIZOPO HADI SASA unadhani zinatosha kuipindua meza na kuitoa hii serikali ya CCM ??

bila kupuuza migogoro ya ndani wanayoiendekeza myaka nenda Rudi.
CCM wakubali kuwa lengo la Mfumo wa Vyama Vingi siyo kutawala tu bali ni kuwa na ilani zinazotofautiana katika kujenga nchi.Mikinzano ndiyo msingi wa maendeleo mahali popote pale.Hakuna nchi iliyoendelea kwa kuwa na wazo moja.Vyama vingi vya siasa lazima viwe na sera mbadala ambayo kwa vyovyote chama tawala lazima kiumie,lakini uvumilivu wa kisiasa hutatua changamoto zilizopo kupitia sanduku halali za kura na si kusimamiwa na kuamliwa na dola.
 
kwataarifa yako kanisa katolic ndilo liliipeleka ccm ,ikulu

kama ulikuwa hujui polekubwa


So how shall Chadema take it out from there ???

Itafanikiwa kwa kusutana kama wanavofanya Viongozi wa Kanda , mikoa na ngazi ya taifa ?
 



Okay kiongozi . Thanks kwa elim nzuri.

Naomba changia basi kidogo juu ya umuhimu wa kuwa na Chadema imara ili kupambana kufikia level nzuri ya kufanikisha kudai mabadiriko yanayohitajika kulingana na hoja ZILIZOPO mezani ktk uwanda wa siasa kwa Sasa .. ikiwemo swala la katiba.
 
Jirani yako akiwa na tabia ya kujinyea ndiyo wewe unavua nguo na kutembea soko la kijijini kwenu uchi kabisa

Jirani yako akiwa na tabia ya kujinyea ndiyo wewe unavua nguo na kutembea soko la kijijini kwenu uchi kabisa?
Nazungumzia kususia uchaguzi sizungumzii kunya,kivua nguo na uchi.Ndiyomaana G55 mnashindwa kujibu hoja zao mnaishia matusi,dhihaka,matusi na kebehi
 
NO REFORM NO ELECTION.
 
Uwe muelewa.Ukiambiwa ukaoge maana yake wewe ni shoga/unapigwa miti vichakani.Sasa jichekeshe uanze kujitapisha.


Ah. We nae japo sijui umri wako Ila naona upo kajinga as I've said ...

Niache na matusi yako... Nipo hapa at least kubadirishana mawazo na watu chanya wenye hoja.
 
Ndugu yangu ni combination of everything, ukweli ni kwamba Tanzania watu wengi wajinga. Mimi nimefika Zambia na ninawajua wazambia, na nina wajua waKenya, mtanzania hawezi kumlinganisha na Mkenya hata kwenye job markets, they are very far!! Tanzania ni nchi ya kilaghai lghai hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…