Wamemsuta nani
Halafu ninyi mmewapa na uongozi kabisa ili kuwaenzi.Bloody-gays!Nyie mnatetea ushoga
Ndugu yangu ni combination of everything, ukweli ni kwamba Tanzania watu wengi wajinga. Mimi nimefika Zambia na ninawajua wazambia, na nina wajua waKenya, mtanzania hawezi kumlinganisha na Mkenya hata kwenye job markets, they are very far!! Tanzania ni nchi ya kilaghai lghai hivi
Jichekeshe tu.Unadhani kila mtu yupo kijijini kwenu hadi alale?Kijana kwanini usilale tu lakini ???
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mtajijaza huu ujinga Hadi mwisho wa Tanzania.Haya kachukue buku Saba Lumumba
Tuliza mshono wewe umeiona katuni ya GADO?Mtajijaza huu ujinga Hadi mwisho wa Tanzania.
Wewe unalaumu CHADEMA, hebu nikuulize, hivi siku ile Warioba Esq, alivyo ongea ulimsikiliza? Kwenye jukwaa la TLS? Sidhani kuna mtu wa CCMalimmuelewa, kisa? Education, sisemi IQ. This is desperate country, hakuna matumaini. Warioba, very educatedman, mtalaam wa Law of the Sea (Ocean), amewahi kuwa Rais wa hiyo Institute ya kimataifa, mwaka 1996 ndiyo alienda China kuwafundisha hiyo Law. Fikiria how frustrated he is at his age!!! Real abominable and disgusting mtu kama Makalla kumbeza msomi kama huyu. ShameTunamhitaji elim ya uraia zaidi na kujitambua.
Kuna mda tunajirudisha nyuma wenyewe tunahisi ndo kusonga mbele.
Mapambano ni muhim. Ila umoja wa wapambanaji juu ya mapambano husika ni muhim zaidi.
Na agenda zililaswa kuwa bayana za wazi na zilizokubaliwa na kueleweka kwa Viongozi waandamizi. Ili kuepusha migongano ya hoja wanapokuja kwa wananchi.
Sasa Leo Chadema wanatuangusha Sana the way wanaenenda wanajiharibia wenyewe.
Katuni ndio zitawasaidia? 😂😂Tuliza mshono wewe umeiona katuni ya GADO?
View attachment 3330285
Wanazani kushika dola ni kama kwenda sokoni kununua bidhaa na kurudKila siku wakiamka ni mwendo wa kunyosheana vidole... Huyu kanunuliwa, yule katumwa, huyu mamruki, Yale namna GANI huyu namna Ile.
Hivi watu emwa hii Tanzania wanadhani kuchukua nchi ni lelemama Sana ???
WanaCHADEMA wanaodhani upinzani unaposhinda pale Kenya, south, Zambia na nchi zingine huwa wanashinda kwa kusonyana Kama watoto wa kike ambao hawajavunja ungo WANATOKA wapi hizo fikra ???
Yani Viongozi wamejawa hasira na niwakurupukaji utadhani soda ya Pepsi. Mnadhani ndo wanaweza kumantain Ile Nguvu unahitajika kushika nchi ???
Mlianza zamani Sana mkiwafukuza kina zito labwe na kitila mkumbo.... mdhani Ile ndo namna sahihi ya kusuruhisha kuliko kukaa kukanyama Chini kistaarabu ??.
Mnadhani hiyo ndo namna chama Dola KINAWEZA operate ??
Huwa nimewaomba Mara kadhaa hata mnipangie serikali kimvuli as for now we are speaking hatuwaelewi mtasimamoa vipi serikali Ila zaidi ya matusi hakuna mnachoeleza.
Hata mawaziri wa level yeboyebo Kama hao wa CCM mnaowadharau hamna na kama wap hawafiki hata 10.
Kila siku kulaumu eti CCM inanunua Viongozi wenu. Ivi kwanini wananumulika kiwepesi sana Hawa jamaa.
CHADEMA Mnadhani nchi inaendeshwa kwa mihemko Sio ???
Ni kwa mikakati gani mnaenda kuchukua Dola heb tuambieni .. MKISHA ZIRA KUSHIRIKI UCHAGUZI NDO MTAAPISHWA au mtatumia njia gani hasa ?
toeni majibu tafadhari Sio matusi.
Labda kumpiga Padre Kitima na kumuua Mdude kutawasaidia.Katuni ndio zitawasaidia? 😂😂
Wewe unalaumu CHADEMA, hebu nikuulize, hivi siku ile Warioba Esq, alivyo ongea ulimsikiliza? Kwenye jukwaa la TLS? Sidhani kuna mtu wa CCMalimmuelewa, kisa? Education, sisemi IQ. This is desperate country, hakuna matumaini. Warioba, very educatedman, mtalaam wa Law of the Sea (Ocean), amewahi kuwa Rais wa hiyo Institute ya kimataifa, mwaka 1996 ndiyo alienda China kuwafundisha hiyo Law. Fikiria how frustrated he is at his age!!! Real abominable and disgusting mtu kama Makalla kumbeza msomi kama huyu. Shame
Ndio hiyo itakomesha kamdomo kamdomo.Labda kumpiga Padre Kitima na kumuua Mdude kutawasaidia.
Labda kumpiga Padre Kitima na kumuua Mdude kutawasaidia.
Acheni kujidanganya Magufuli mwenyewe aliyeanzisha Udikteta leo yuko wapi? Huyu Dikteta mwingine mwenye ushungi pia ataindoka tu.Ndio hiyo itakomesha kamdomo kamdomo.
Baada kufa wengine wameisha? Si kibinyo kinaendelea? Akiondoka still atakuja mwana CCM na kazi itakuwa ni Ile Ile 😂😂Acheni kujidanganya Magufuli mwenyewe aliyeanzisha Udikteta leo yuko wapi? Huyu Dikteta mwingine mwenye ushungi pia ataindoka tu.