Hivi Mnadhani CCM iliingia madarakani kwa kusonyana na kusuta a Kama wafanyavyo CHADEMA?

Sasa wewe si ukasherehekee kwa kuwa chadema wamejitowa kwenye uchaguzi . Maana kujitowa kwao si ndio wewe utapata ubunge wa bure bure. Unalalamika kitu gani sasa.
 
Acheni kujidanganya Magufuli mwenyewe aliyeanzisha Udikteta leo yuko wapi? Huyu Dikteta mwingine mwenye ushungi pia ataindoka tu.



Sasa mbinu za wapinzani bado Sana kwenye kushika nchi ..
Kubalini ukweli kuwa mnazingua ...

Yo guyz mlilaswa kuwa serious Zaid kwa hoja naatemdo na mngeachana na agenda ambazo haziwapeleki kunako mafanikio ya mipango yenu.
 
Kiongozi.
CCM inamadhaif sawa. Ila kiongozi CHADEMA hii tuionayo ndo unataka kuchukua nchi kiongozi. Really ???
Unaona wapo serious kweli ?
Leaders are not Managers. Tofautisha Leader na Manager. Leaders ni inspirers, Managers wanachaguliwa na Leaders. Wanaoongoza mapambano huwa ni wachache na wajinga wanaweza kuwa wanawabeza. Kila mtu ana haki ya kuingia ulingoni, awe Samia au Lisu au Zitto, tutamjua nani Leader.

Watu kama Kabudi etc etc tunawaajili kama Managers, tunawatuma kufanya kazi hao ni wengi sana, hakuna mtu aliyenatizwa kuwa yeye ni CCMau Chadema, people are hanging there, Nani alimjua Mwambukusi Esq miaka mitano au kumi iliyopita? Very intelligent Charistimatic Leader
 
Rais wa Bukina Fasso hana mbunge, ama diwani hata mmoja, hana ilani wala sera lakini anaongoza nchi yake vyema. Sio ngumu hivyo kuendesha nchi, labda kama huna akili na unatumia nguvu zaidi kuliko akili.
 


Bado hainipi picha nzuri hata hivyo. Ila subiri tusonge mkuu.
 
Najua kwa kukwiba
 
Umejiunga hapa jukwaani mwezi uliopota ili kuja kuandika huu upuuzi?!


Ulitaka nijiunge kesho kiongozi. ???

Heb Rudi kwenye point achana na Mimi.
 
Sasa mbinu za wapinzani bado Sana kwenye kushika nchi ..
Kubalini ukweli kuwa mnazingua ...

Yo guyz mlilaswa kuwa serious Zaid kwa hoja naatemdo na mngeachana na agenda ambazo haziwapeleki kunako mafanikio ya mipango yenu.
Hapo ndiyo tunapishana. Kwani sifa za kiongozi au Chama kuchaguliwa ni zipi? Nchi inatakiwa kuwa na mifumo imara, ukiangalia sana Nyerere aliweka mifumo imara. Tanzania ina instutions nyingi ambazo ni imara ingawa Think Tanks ni kama hakuna. Fikira Kenya ina 59 Think Tanks, Tanzania siioni hata moja. Chama kutawala nchi kwenye demokrasia haihitaji rocket science, mnawaondoa pale ambapo wanashindwa. Ati CHADEMA hawawezi, kwa nini? Tunaishi na CCMpmoja mtaani, na shule tumesoma hizohizo, kwa nini tusiimarishe Demokrasia kwanza ili kila ajaye atawala kwa kutunza maadili tulijiwekea? Angalia Marekani hata Trump anatawala na hawezi kufanya ushenzi kwa sababu instittions ziko strong.
 


Pale juu kunakua na Viongozi... Pale juu upande wa CCM hakuna mtu mmoja. Bali Kuna team ya watu wengi tu.

Sasa upande wa makamanda mnafeli kutengeneza kikosi imara Cha juu pale.
 
CCM yenyewe haijawahi kuchukua Dola mikononi mwa chama chochote kupitia sanduku la kura, kwahiyo ukichukua nafasi ya CCM ukaiweka CHADEMA na ile ya CHADEMA ukaiweka CCM yawezekana struggle zingekua kama hizi zinazoendelea Leo tu.

Thou umeandika hoja nzito katika namna nyepesi iliyojaa kejeli, na wasiwasi wako ni kwamba unaamini bado CHADEMA haijawa tayari kushika Dola kwa maana ya kwamba haijajipanga ipasavyo.

Inawezekana uko sahihi kimtazamo wako, lakini mabadiliko ya kweli yanapotokea kwa nchi yenye watu zaidi ya million 60 inawezaje kukosa watu wenye nia thabiti ya kuiongoza nchi yao katika namna ile inayofaa?

Kwahiyo inawezekana unaona wanaohubiri mabadiliko ni wachache ila hayo mabadiliko yakishatokea utawaona watu wengi ambao hawakua sana mbele ya kipaza ila wako na sifa za uongozi.

Na unapaswa ujue pia, kinachopiganiwa hapa si CCM, wala CHADEMA au chama chochote kile, ila kinachopiganiwa hapa ni uhuru wa kuchagua na haki ya mpiga kura.

Na swala kama hili linapopiganiwa haijalishi ni nani ambae atapata bahati ya kukalia kiti baada ya hayo mabadiliko, hata kama hiyo bahati itakuangukia wewe ni sawa tu kaka kwasababu from there Kila kitu kitajipanga upya na kura ya Kila mwananchi itakua na hadhi pamoja na heshima ile ambayo inastahili.

Haya ni matamanio ya watu wengi kuona yakitokea ila wasiwasi wangu ni kwamba tunaweza kuchelewa sana kufika huko kwa maana vijana wengi wako na mahaba na vyama na wala si wagombea wa hivyo vyama.

Kwahiyo hata akisimamishwa mgombea ambae Hana hiyo hadhi au kukiwa na chama kinafanya mambo ya hovyo hovyo tu, watu watasimama na chama Chao hadi mwisho like Islam and Christians.

Na ukitaka kuthibitisha hilo, angalia comment...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…