Hivi Mnadhani CCM iliingia madarakani kwa kusonyana na kusuta a Kama wafanyavyo CHADEMA?

Typo ndio unaanza na jina la mtu kwa herufi ndogo, na zaidi ya mara tatu!!??
Tukiandika kuwa CCM haina "human resource" zaidi ya kuwa na mazwazwa wanaopelekeshwa kwa kuwa hawana ubongo, mnasema mnatukanwa!!
 

Attachments

  • downloadfile-31.jpg
    68.1 KB · Views: 9
  • JamiiForums-1270582057.jpeg
    32.5 KB · Views: 11
  • downloadfile-18.jpg
    216.9 KB · Views: 7
  • downloadfile-2.jpg
    180 KB · Views: 11
Ulitaka nijiunge kesho kiongozi. ???

Heb Rudi kwenye point achana na Mimi.
Naona umekuja kwa kasi kama moto wa kifuu. Au ndio hizi id za kuelekea uchaguzi mkuu unaanza kutest mitambo?
 
In fact,
uongozi mpya wa chadema umebarikiwa sana kua na viongozi waandamizi wakurupukaji na waropokaji tupu, wachache sana ndio kama watermelon tu, yaani wao ni bora liende tu kama yule mwenye ndevu nyeupe na mwanasheria wa chama hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…