Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

Ongea vitu vya logic ndoa ndo inamtambulisha mwanaume ? Alaf Kuna meng ya kusolve na kugundua kweny maisha ndo maan wazungu wanatuzid mbali mtu unakaa unawaza wanaume waoe kwel 😂
 
Oa upambane na majukum Babu acha kutupangia, huwez kutuvua uanaume kwa kutuaminisha katika ndoa.
 
Ungejenga hoja Yako bila kuweka ushoga ungekuwa mwanaume kweli ila kuweka ushoga ndani yake ni ishara kuwa unahisia za kishoga na anus Yako hupwita pwita Kila uonapo kijana ambae hajaoa
Right kabisa
Mtu timamu huwezi ukawa na dhamira ya kuleta hoja nzuri kabisa ambayo wewe kwaakili yako umeiona kuwa ni mubashara
Halafu boom,, mwishoni unaweka mambo machafu kabisa yaani haifai hata kuiita negative nadhani segative itakuwa best zaidi

Mkuu mtoa post kakera sana
Nafurahi kuona hujamlazia damu..
Ni bonge la senge kwanza linahimiza watu wa jinsia me. Kuwa watumwa kwa kuleta hoja peti peti..
 
Mtu ambae hajaoa hana akili timamu
Kwanza kuoa ni nini tafsiri yake? Tuanzie hapo..
Kisha tuone dhima za kuoa kwa jinsia zote zilizoingia ndoani.
Kisha ndipo tuone matokeo halisi yaletwayo na hizo ndoa..
Baada ya hapo tujifunze sheria zimepanga nini juu ya ndoa..
Mwisho tutazame kufaulu na kufeli kwa ndoa.

Ahsante,, but nadhani ushetani uendelee tu.
Lucha
 
Mwanaume ni ujasiri wa kupokea majukumu na mara nyingi kipimo cha uanaume ni ndoa ikiwa huna ndoa wewe ni mvulana tu, vijana mnapenda kuchovyachovya lakini ukiingia kwenye ndoa unakutana na mke wako any time, majukumu ya utafutaji yanakuandama, kitanda plus ada za watoto zinakusubiri.

Lakini mwanaume unatoboa kwa namna yeyote,hivi inakuwaje kijana unayopesa ya kuoa na hujaoa mpaka sasa? Halafu unajiita mwanaume?

Mashoga ndiyo wanakimbia majukumu ya uanaume.

OA
Oya usitufokee ,kuwa na adabu ,eboo
 
Back
Top Bottom