Yaani nizoee depression? We umeolewa?Oa mapema kama min -me ili uzizoee changamoto.
Ndio, maana hata ukizikimbia zipo tu.Yaani nizoee depression? We umeolewa?
Mimi sizitakiNdio, maana hata ukizikimbia zipo tu.
Utake usitake, zipo tu.Mimi sizitaki
... kukwepa majukumu kwa tafsiri ya mleta mada ni uelekeo wa ili uwe shoga! Mi nasema kubari ndoa uwe mwanaume anayejua kuhudumia -uke na mazalio yakeKataa ndoa..βΉοΈ
Right kabisaUngejenga hoja Yako bila kuweka ushoga ungekuwa mwanaume kweli ila kuweka ushoga ndani yake ni ishara kuwa unahisia za kishoga na anus Yako hupwita pwita Kila uonapo kijana ambae hajaoa
Kwanza kuoa ni nini tafsiri yake? Tuanzie hapo..Mtu ambae hajaoa hana akili timamu
Hatari mekuu..Nina watoto wawili ,ni majukumu toshaπ
Oya usitufokee ,kuwa na adabu ,ebooMwanaume ni ujasiri wa kupokea majukumu na mara nyingi kipimo cha uanaume ni ndoa ikiwa huna ndoa wewe ni mvulana tu, vijana mnapenda kuchovyachovya lakini ukiingia kwenye ndoa unakutana na mke wako any time, majukumu ya utafutaji yanakuandama, kitanda plus ada za watoto zinakusubiri.
Lakini mwanaume unatoboa kwa namna yeyote,hivi inakuwaje kijana unayopesa ya kuoa na hujaoa mpaka sasa? Halafu unajiita mwanaume?
Mashoga ndiyo wanakimbia majukumu ya uanaume.
OA
Mno ππHatari mekuu..