Shule niliyosoma ndio ilinifanya niwe nundaKuna katukio kalikua kanatokea sana enzi za shule ya msingi
Aisee maana hakuna kitu kilikua kinauma kama umetoka darasani kwako ukaenda darasa lingine kuongea na rafiki zako au kupiga umbea,alafu ghafla unasikia "HAYA DARASA ZIMA LALA CHINI..MONITOR KANILETEE FIMBO KWENYE MEZA YANGU"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] utatamani uwe nzi viboko visikupate..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yani hawajui kabisa...na hakuna kengele niliyokua naipenda kama kengele ya saa nne..nilikuaga makini acha tu..ivi unakumbuka zile za kupigana kila ijumaa?Shule kuna matukio ya kufurahisha sana.
Na ile ya kuweka mandazi kwenye sport ile tuliyokuwa tunaweka madaftari kama begi[emoji23][emoji23]
Watoto wa zama hizi hawajui haya wanajua mabegi tu
Bila kusahau kengele ya saa nne kukimbilia kununua bagia [emoji28][emoji28]
Nakumbuka hiyo yani darasa linagawanyika makundi mawili wanawapampi watu wawili mmoja kutoka kila kundi [emoji23][emoji23][emoji23] hiyo lazima apigwe mtu wanachora mstari eti mbabe anaruka kumfate mnyonge doh [emoji23][emoji23] watoto wa sikuhizi hawajui haya hata Nage hawaijuiyani hawajui kabisa...na hakuna kengele niliyokua naipenda kama kengele ya saa nne..nilikuaga makini acha tu..ivi unakumbuka zile za kupigana kila ijumaa?
Kuna siku nilienda darasa la 6 mm nikiwa la 5 kwenda kupeleka barua za kirafiki jaman ghafla mkuu huyoo akasema wote piga magotii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa aiseee
[emoji23][emoji23] uliwaponza wenzioKuna siku nilienda darasa la 6 mm nikiwa la 5 kwenda kupeleka barua za kirafiki jaman ghafla mkuu huyoo akasema wote piga magotii
Ila nilkuwa dawat la pili kutoka mbele mkuu akaamua kuanzia nyuma kuchapa nilitokaaa nduki nashangaa nipo vyoo vya wanafunzi sjui huko nyuma ilikuaje nasikia kesi ikahamia kwa wanafunzi wakala kichapo cha kumkaribisha mwanafunz
Baadae sasa jion narud nyumban nikapewa masink ya kichwa na baadhi ya manundaaa[emoji23][emoji23] uliwaponza wenzio