Hivi mnakumbuka hii?

Hakuna aliyetoka darasani kwake na kwenda darasa lingine ilikuwa hairuhusiwi kabisa halafu huo muda utaupata wapi? pili utaadhibiwa wewe na uliyemfuata, labda umesoma kipindi ambacho mwanafunzi yupo juu na walimu hawana kauli kwa wanafunzi yoyote
 
Hiyo ni shule uliyosoma wewe
 
Duh.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama hiiView attachment 734926
Na hapo usikute imeanza kuchoka. Inajikunja kama mzee
Nilikua napendaga yenye rangi nyekundu..kuna rafiki angu ndio yalikua mabegi yake hayo..namimi nilikua nayapenda..nilikua radhi nikifika tu shule tubadilishane nibebeee weeeh..mda wa kutoka kila mtu anachukua begi lake
 
Hapo ndo zile purukushani za kujaladia madaftari kwenye sketi na kaptula zinaanza huhuhuhuhu aiseee alafu mnachapwa mikononi
[emoji23][emoji23] mwalimu akigundua umejaladia anaweza akakupiga hata kiunoni..dadekii
 
Watanifanya nini sasa? Darasani nilikuwa mkali Na nilikuwa nawaambia walimu mimi sistahili kusoma shule yao iko below my levels, Na nilikuwa nawaomba wanufukuze shule
[emoji23][emoji23][emoji23] kweli ulikua nunda haswaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…