Hivi mnaoexperience au mliowahi kuziishi hizi tofauti mtuambie iliwezekanaje?

Umezunguka sana, uliza tu kuwa “ mambo huwaje mwanaume anapooa single mother” kwa ufupi kibisa, watoto hukutana kwa mama. Waliochangia mama huwa kitu kimoja. Walichangia baba mama tofauti huwa kipengele. Ila kwa mwanaume aliyemkuta mwanamke ana watoto huwa hana sauti na hao watoto hata afanye nini. Watakuja tu hapa kujifaragua ila hakuna kitu wanafanya kwa watoto wa wanaume wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…