Hivi mnaofanya kazi Sekta za Serikali nako kuna maneno maneno na kuchongeana kama Private?

Wakuu makazini mambo ni mazito.
Hasa private yaan umbea,unafiki ,kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana.
Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya.
Change my mind sijawai fanya kazi serikalini
Hizo ni changamoto za kila pahala, hadi makanisani na misikitini zipo, jambo la muhimu ni kukaa kitaalam(kutopenda mazoea yasio na tija
 
Wakuu makazini mambo ni mazito.
Hasa private yaan umbea,unafiki ,kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana.
Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya.
Change my mind sijawai fanya kazi serikalini
Huko serikalini kurogana ndiyo kwenyewe, uchawi wote, uujuwao na usioujuwa, bila kusahau rushwa zote uzijuazo, mpaka za ngono usizozijuwa.
 
Back
Top Bottom