Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Utakuwa wewe ni mvivu na hupendi kufanya kazi kwa weledi.Wakuu makazini mambo ni mazito.
Hasa private yaan umbea, unafiki, kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana.
Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya.
Change my mind sijawai fanya kazi serikalini
Mtu makini hana habari na umbea wala maneno