Hivi mnaofanya kazi Sekta za Serikali nako kuna maneno maneno na kuchongeana kama Private?

Wakuu makazini mambo ni mazito.

Hasa private yaan umbea, unafiki, kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana.

Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya.

Change my mind sijawai fanya kazi serikalini
Utakuwa wewe ni mvivu na hupendi kufanya kazi kwa weledi.

Mtu makini hana habari na umbea wala maneno
 
Ukiona hivyo ujue tatizo lipo kwako
100% perfect.

Mijitu ya hovyo kazini inalipua kazi, haiwahi kazini na ni miepesi kutoroka toroka.

Mkilionya ndio linaanza kulalamika eti mnalifatilia, eti mna umbea eti mnalichongea.

Nimekuwa na uzoefu kwenye sector za umma na private sectors pia mara zote watu wa namna hii ni wa hovyo sana.
 
Wakuu makazini mambo ni mazito.

Hasa private yaan umbea, unafiki, kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana.

Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya.

Change my mind sijawai fanya kazi serikalini
Huku kunawashirikina kabisa mkuu yaani kila hatua unayopiga watu wanakusoma ukijikwaa tu unalo sema huku kufukuzana ndio issue sio km private
 
Wakuu makazini mambo ni mazito.

Hasa private yaan umbea, unafiki, kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana.

Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya.

Change my mind sijawai fanya kazi serikalini
Kuna dereva wa askofu mmoja juzijuzi alichelewa kufika kazini, boss akauliza kwa dereva mwingine mwenzako yuko wapi? Aliyeulizwa akaona hii ni fursa, akamjibu askofu, huyu ameoa mke wa pili hivi sasa anakaa mbali sana hawezi kuwahi kazini, kusikia vile yeye ndiyo akapewa kumuendesha kiongozi
 
Hizo ni changamoto za kila pahala, hadi makanisani na misikitini zipo, jambo la muhimu ni kukaa kitaalam(kutopenda mazoea yasio na tija
Kabisaa mimi yamenikuta sehemu nyingi...nyumba za Ibada na hata mitaani...nilipojichunguza niliona kosa lipo kwangu....
1.Kutokuwa na mipaka
2.Kumwamini kila mtu....hivyo naungana na wewe....kutopenda mazoea yasiyo na Tija
 
Kuna dereva wa askofu mmoja juzijuzi alichelewa kufika kazini, boss akauliza kwa dereva mwingine mwenzako yuko wapi? Aliyeulizwa akaona hii ni fursa, akamjibu askofu, huyu ameoa mke wa pili hivi sasa anakaa mbali sana hawezi kuwahi kazini, kusikia vile yeye ndiyo akapewa kumuendesha kiongozi
Derever wa Askofu ana wake wawili? Hii haikubaliki😅😅
 
Back
Top Bottom