Hivi mnaofanya kazi Sekta za Serikali nako kuna maneno maneno na kuchongeana kama Private?

Hivi mnaofanya kazi Sekta za Serikali nako kuna maneno maneno na kuchongeana kama Private?

Wakuu makazini mambo ni mazito.

Hasa private yaan umbea, unafiki, kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana.

Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya.

Change my mind sijawai fanya kazi serikalini
Kote ni sawa tu hakuna tofauti.huku watu wanashinda kwa waganga wa kienyeji kulogana.
 
Back
Top Bottom