Hivi mnaofanya kazi Sekta za Serikali nako kuna maneno maneno na kuchongeana kama Private?

Hivi mnaofanya kazi Sekta za Serikali nako kuna maneno maneno na kuchongeana kama Private?

Huko serikalini kurogana ndiyo kwenyewe, uchawi wote, uujuwao na usioujuwa, bila kusahau rushwa zote uzijuazo, mpaka za ngono usizozijuwa.
Kuondoa wazungu, waafrika, waarabu na wahindi kuchongeana kazini ni utamaduni wao. Wahindi ndiyo wanachukuwa namba moja wakifuatiwa na waafrika halafu waarabu. Tatizo ni kuwa ma-bosi wa hizi jamii wanaendekeza umbeya. Ukiwa na boss ambaye haendekezi maneno ya chini chini ni vigumu wafanyakazi kuwa wambea. Nliwahi kufanya kazi na wahindi, boss akiwa mzungu nilifurahi sana. Alikuwa anawakomesha na kila walipojaribu kupeleka umbeya kwake alikuwa anapuuza na kuwambua.
 
Wahindi ni hatari mkuu. Hutakiwi kucheka ni zile kima. Mi kuna mmoja nilimfanyia uhuni kule Arusha hana hamu.
 
Wakuu makazini mambo ni mazito.

Hasa private yaan umbea, unafiki, kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana.

Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya.

Change my mind sijawai fanya kazi serikalini
Hiyo ni hulka ya binadamu ,kote ni hivyo hivyo japo huko sekta binafsi uchawa umezidi.

Ukitaka maneno yasikuharibie huko private sector hakikisha uwe unategemewa kwenye section Yako.
 
Wahindi ni hatari mkuu. Hutakiwi kucheka ni zile kima. Mi kuna mmoja nilimfanyia uhuni kule Arusha hana hamu.
Hatari mno mno. Nakubali. Nadhani ni kwa sababu kwao population ni kubwa na ushindani wa maisha uko juu ndiyo maana wame-delevep tabia ya kuishi kwa kujipendekeza. Na jambo jingine: wakiwa na shida wanajua kujipendekeza sana sana. Unaweza kudhani huyu jamaa ni rafiki yangu mkubwa, wacha ile shida iishe ndiyo utajua rangi zote. Ukiona urafiki wa karibu black na mhindi basi ujue yule mhindi kuna kitu anapata. Japo sisemi ni wote lakini wengi ndiyo ilivyo.
 
Wakuu makazini mambo ni mazito.

Hasa private yaan umbea, unafiki, kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana.

Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya.

Change my mind sijawai fanya kazi serikalini
Ongezea hapo na Kujipendekeza na kujichekesha chekesha hata kama bosi kaongea upuuzi...
 
Hakuna sehemu hakuna fitna na ulozi, hata huko private sector kifupi hata iwe mashirika makubwa mfano Afya huko madaktari wenyewe ni walozi wanagombea vyeo etc.......ila serikalini ni vile mtu kufukuzwa kazi ni hadi suruali na sketi zichakae kwa vikao ndiyo muhusika afukuzwe 😁😁😁😁 ila kuchongewa ni kugusa tu na mtu akikuwini km uko sehemu nzuri labda mjini anakufanyia fitna unapelekwa samvulachole huko ukacheze na nyani! Na kuna watu wanauwezo wa kupangua barua za uhamisho ni balaaa ukiwa na urafiki na walinzi wale wa getini wanahabari za wafanyakazi wanaoenda usiku na wataalamu wao na vichwa vya mbuzi kuzika/kufukia huko maofisini. na baada ya muda unasikia uhamisho umesitishwa oooh na wakati mlikuwa mnataarifa au hata mmeona barua fulani anahamishwa🤣🤣🤣🤣 muhimu ni kujikabidhi kwa Mungu kwenye kila hatua
 
Back
Top Bottom