Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Huko ndio hatari!,Kila mtu usalama wa Taifa!Wakuu makazini mambo ni mazito.
Hasa private yaan umbea,unafiki ,kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana.
Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya.
Change my mind sijawai fanya kazi serikalini
Iasee mi nilijua ndo nitapumzikaSerikalini pabaya sana mkuu. Wanoko kila mahali
heeeeh usalama tena huko kufukuzwa kazi si ngumuHuko ndio hatari!,Kila mtu usalama wa Taifa!
siongeleei kazi naongelea vita na fitinaukiwa huna elimu halafu mvivu kila kazi utaiona mbaya tu 🐒
sector binafsi yamezidiHayo mambo yapo sector zote labda upate bahati ya kupata kitengo kizuri
huyo anapigwa jujuHata kwenye biashara binafsi wachawi wapo tu.
Kuna baadhi ya jamaa wa tra wanakuaga wakuda.
Unakuta tu unaambiwa mwaka 2004 ulikwepa kodi.
Hizo ni changamoto za kila pahala, hadi makanisani na misikitini zipo, jambo la muhimu ni kukaa kitaalam(kutopenda mazoea yasio na tijaWakuu makazini mambo ni mazito.
Hasa private yaan umbea,unafiki ,kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana.
Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya.
Change my mind sijawai fanya kazi serikalini
Huko serikalini kurogana ndiyo kwenyewe, uchawi wote, uujuwao na usioujuwa, bila kusahau rushwa zote uzijuazo, mpaka za ngono usizozijuwa.Wakuu makazini mambo ni mazito.
Hasa private yaan umbea,unafiki ,kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana.
Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya.
Change my mind sijawai fanya kazi serikalini
Ukichunguza utagundua Watu wa serikalini Wana furaha sana kuliko watu wa sector private
sector binafsi yamezidi
sawa!! ni perspectiveUkiona hivyo ujue tatizo lipo kwako
Yaan kazi ngumu biashara ngumuHata kwetu wapo.
we huna furahaInategemea umeajiriwa wapi