Hivi mnaoshinda JF huwa mnakuwa mnafanya nini?

Jukwaa siasa chawa wa mama wametapakaa bila shaka nazani kazi yao ni uchawa wapo humu si mchana si usiku wamanane ukiwatag wanakuja kukushambulia mkosoaji
 
Unaowakuta na wao wanakukuta so kwa kifupi wote mnakutana muda mmoja na mnatoka muda mmoja.
 
Very good observation

Lakini usijudge wote negative. Nitatolea mfano wa mdada huku nayemfahamu ratiba zake

Ni mfanyabiashara, katika biashara ana vijana wa kufanya kazi yeye huwa pembeni tu kucheck hivyo asubuhi mchana au jioni sio ajabu kuwa active jf
Akirudi home ana mdada wa kazi, sasa hapo utasema hana cha kufanya? Watu tumetofautina kulingana na shughuli au kazi zetu

Men ndio tuna ratiba kidogo complicated hata kama uwe na watu wa kukufanyia kazi zako, hivyo kwa men ukikuta wapo active muda wote hilo ni tatizo kubwa na ni kiashiria cha upweke wa hali ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…