Hivi mnaosoma kozi kama Bsc in Physics, Bsc in Chemistry, Bsc in Mathematics huwa mnapanga kuja kuwa kina nani hasa?🤣

Hivi mnaosoma kozi kama Bsc in Physics, Bsc in Chemistry, Bsc in Mathematics huwa mnapanga kuja kuwa kina nani hasa?🤣

😂😂 Ila boss mfumo wa elimu yetu bado haumsaidii sana mtu kijitegemea.

Kweli mkuu

Mfumo wa elimu utakuwa umebadilika kinamna. Hata hivyo mfumo wetu wa elimu haujawahi kuwa favourable kihivyo zaidi ni jitihada za wanafunzi wenyewe.

Sisi tuliosoma Primary miaka ya 80, na sekondari na chuo miaka ya 90 usomaji wetu ulikuwa tofauti sana na zama hizi. Enzi zetu kusoma vitabu ilikuwa dili. Mwanafunzi kujisomea mwenyewe somo/topic kisha akawafundisha wenzake ilikuwa kawaida hasa sekondari na chuo. Maana issue ya ukosefu wa Walimu hasa wa masomo ya sayansi na English ulikuwa ni tatizo kubwa enzi zetu.

Siku hizi wanafunzi wanasoma vitini ili kufaulu mitihani...hapo ndio unakuta mhitimu hana akiba ya theory wala uwezo wa vitendo.

Maoni yangu, mafanikio kwenye Jambo lolote ni jitihada za mtu mwenyewe kuyashinda mazingira kinzani. Bila hivyo mazingira kinzani yataendelea kuwa kikwazo daima.

Nikutakie kila la heri lisikuponyoke.
 
Nmetokea kukuelewa boss, zaidi nmependa umefunguka kitu kizuri ambacho nmejifunza. shukran ubarikiwe.
 
Hivi hujui code breaking zinatumia mathematics,
Its only logics, huitaji kuwa na bachelor ya mathematics. Mthematics pekee haikufanyi ujue programming, hapa hata sijazungumzia software development ambapo kuna Analysis na designing. Sikatai kuwa kama unajua maths ni rahis sana kujua programming language yoyote. Pia siyo kila programmer ni System developer.
 
Hawa ni baadhi tu ya computer Scientists wenye degrees za mathematics na physics.Wewe kazi kubisha hata facts huna.Computer bila mathematics sio computer

Charles babbage
Von Neumann
Alan turing
Ada lovelace
Alonzo Church
Nani kabisha kuwa computer haihitaji mathematics? Mathematics ni muhimu lakini siyo advanced mathematics, logics to ndiyo inahitajika. Au nikuulize niambie kwenye computer wapi unahitaji kujua advanced mathematics au kuwa na bachelor ya mathematics ili ukamilishe kusudio/Function/class/system yako?
 
Wapo Tanzania au huko nje ya Nchi alfu mbona hata mimi Bachelor of Archaelogy naweza kuwa Computer progammer

Suala sio zinawasaidiaje Suala wanaajiriwa wapi kama nani TANZANIA
Uko sahihi mkuu, ndiyo hata mimi namwambia programming siyo mpaka uwe na bachelor ya mathematics, ni ishu ya kujua logics tu.
 
Yupo rafiki yangu alisoma bachelor ya Mathematics kwa sasa yupo Mzumbe Moro pale anafundisha chuo
 
Nani kabisha kuwa computer haihitaji mathematics? Mathematics ni muhimu lakini siyo advanced mathematics, logics to ndiyo inahitajika. Au nikuulize niambie kwenye computer wapi unahitaji kujua advanced mathematics au kuwa na bachelor ya mathematics ili ukamilishe kusudio/Function/class/system yako?
Kwa wewe ambaye ni application programmer si lazima ila kwa mtu kama cryptographer lazima awe proficient kwenye maths
 
Mwenye uhitaji wa hii kitu 20k
IMG_20210609_142542_9.jpg
 
Mkuu usichange files?

Nchi zilizoendelea coding ni somo la lazima kama ilivyo Civics/DS/GS huku kwetu.

Kwahiyo mtu kujua coding siyo lazima awe amesoma Programming
Hahahaaa hii ni chai tena ya moto kabisa.
 
Sehemu ambako physics inakuwa applied
  • Astronomy and astrophysics.
  • Biophysics.
  • Chemical physics.
  • Cosmology.
  • Engineering physics.
  • Geophysics.
  • Medical physics.
  • Optics.
  • Particle physics.
  • Quantum computing.

Kazi za mtu aliyesema physics
  • Data analyst.
  • Engineer.
  • Patent attorney.
  • Physicist.
  • Physics researcher.
  • Physics teacher or professor.
  • Programmer.
  • Project manager.
  • Scientist.
Kazi.ambazo mathematics inakuwa applied

1.Auditor:

2. Data or Research Analyst:

3. Computer Programmer

4. Medical Scientist

5. Financial Analyst

6. Statistician

7. Actuary

8.Economist

9. Software Developer

10. Data Scientist

kazi ambazo chemistry inakuwa applied
Mleta mada usichokijua ni kama.usiku wa kiza walioanzisha hizi degrees sio idiots wanajua nini wanaofanya
Mkuu Bsc in chem uwezi kuwa pharmacologist
 
Back
Top Bottom