Gepard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2021
- 291
- 385
rudi bongo mkuu, naona ushaenda Thailand😅
2. Gari unalotumia kuna kazi kubwa ya wafizikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2. Gari unalotumia kuna kazi kubwa ya wafizikia
Twende na mifano hai tuwasaidie vijana na wazeeUkikaa vizuri huwezi kukosa Cha kufanya
Tatizo la tz akili zetu zimelala
Nipo Thailand ya hapa Buza Kwa Mpalange mkuu 😅rudi bongo mkuu, naona ushaenda Thailand😅
Ni wengi mno kumbe Urubani ni hela yako TUMie niliambiwa nipige PGM nitakuja kuwa rubani Cha ajabu leo hii nasubiri mhindi amalize kula nikatoe vyombo daah inauma sana
Kaokotesha mitandaoniD
Duuh.. mkuu hii ya kusomea Degree ya physics kuwa
programmer na degree ya maths kuwa software developer una uhakika nayo???
😂😂 Ila boss mfumo wa elimu yetu bado haumsaidii sana mtu kijitegemea.Nipo Thailand ya hapa Buza Kwa Mpalange
😂😂 Ila boss mfumo wa elimu yetu bado haumsaidii sana mtu kijitegemea.
Nmetokea kukuelewa boss, zaidi nmependa umefunguka kitu kizuri ambacho nmejifunza. shukran ubarikiwe.Kweli mkuu
Mfumo wa elimu utakuwa umebadilika kinamna. Hata hivyo mfumo wetu wa elimu haujawahi kuwa favourable kihivyo zaidi ni jitihada za wanafunzi wenyewe.
Sisi tuliosoma Primary miaka ya 80, na sekondari na chuo miaka ya 90 usomaji wetu ulikuwa tofauti sana na zama hizi. Enzi zetu kusoma vitabu ilikuwa dili. Mwanafunzi kujisomea mwenyewe somo/topic kisha akawafundisha wenzake ilikuwa kawaida hasa sekondari na chuo. Maana issue ya ukosefu wa Walimu hasa wa masomo ya sayansi na English ulikuwa ni tatizo kubwa enzi zetu.
Siku hizi wanafunzi wanasoma vitini ili kufaulu mitihani...hapo ndio unakuta mhitimu hana akiba ya theory wala uwezo wa vitendo.
Maoni yangu, mafanikio kwenye Jambo lolote ni jitihada za mtu mwenyewe kuyashinda mazingira kinzani. Bila hivyo mazingira kinzani yataendelea kuwa kikwazo daima.
Nikutakie kila la heri lisikuponyoke.
Pamoja Sana Mkuu 🙏🏽Nmetokea kukuelewa boss, zaidi nmependa umefunguka kitu kizuri ambacho nmejifunza. shukran ubarikiwe.
Its only logics, huitaji kuwa na bachelor ya mathematics. Mthematics pekee haikufanyi ujue programming, hapa hata sijazungumzia software development ambapo kuna Analysis na designing. Sikatai kuwa kama unajua maths ni rahis sana kujua programming language yoyote. Pia siyo kila programmer ni System developer.Hivi hujui code breaking zinatumia mathematics,
Nani kabisha kuwa computer haihitaji mathematics? Mathematics ni muhimu lakini siyo advanced mathematics, logics to ndiyo inahitajika. Au nikuulize niambie kwenye computer wapi unahitaji kujua advanced mathematics au kuwa na bachelor ya mathematics ili ukamilishe kusudio/Function/class/system yako?Hawa ni baadhi tu ya computer Scientists wenye degrees za mathematics na physics.Wewe kazi kubisha hata facts huna.Computer bila mathematics sio computer
Charles babbage
Von Neumann
Alan turing
Ada lovelace
Alonzo Church
Uko sahihi mkuu, ndiyo hata mimi namwambia programming siyo mpaka uwe na bachelor ya mathematics, ni ishu ya kujua logics tu.Wapo Tanzania au huko nje ya Nchi alfu mbona hata mimi Bachelor of Archaelogy naweza kuwa Computer progammer
Suala sio zinawasaidiaje Suala wanaajiriwa wapi kama nani TANZANIA
Kwa wewe ambaye ni application programmer si lazima ila kwa mtu kama cryptographer lazima awe proficient kwenye mathsNani kabisha kuwa computer haihitaji mathematics? Mathematics ni muhimu lakini siyo advanced mathematics, logics to ndiyo inahitajika. Au nikuulize niambie kwenye computer wapi unahitaji kujua advanced mathematics au kuwa na bachelor ya mathematics ili ukamilishe kusudio/Function/class/system yako?
Advanced level ndio watumiaji wakubwa wa hizi calculators.Mwenye uhitaji wa hii kitu 20k View attachment 1815281
Yeah sahihi mkuuAdvanced level ndio watumiaji wakubwa wa hizi calculators.
Hahahaaa hii ni chai tena ya moto kabisa.Mkuu usichange files?
Nchi zilizoendelea coding ni somo la lazima kama ilivyo Civics/DS/GS huku kwetu.
Kwahiyo mtu kujua coding siyo lazima awe amesoma Programming
Mkuu Bsc in chem uwezi kuwa pharmacologistSehemu ambako physics inakuwa applied
- Astronomy and astrophysics.
- Biophysics.
- Chemical physics.
- Cosmology.
- Engineering physics.
- Geophysics.
- Medical physics.
- Optics.
- Particle physics.
- Quantum computing.
Kazi za mtu aliyesema physics
Kazi.ambazo mathematics inakuwa applied
- Data analyst.
- Engineer.
- Patent attorney.
- Physicist.
- Physics researcher.
- Physics teacher or professor.
- Programmer.
- Project manager.
- Scientist.
1.Auditor:
2. Data or Research Analyst:
3. Computer Programmer
4. Medical Scientist
5. Financial Analyst
6. Statistician
7. Actuary
8.Economist
9. Software Developer
10. Data Scientist
kazi ambazo chemistry inakuwa applied
Mleta mada usichokijua ni kama.usiku wa kiza walioanzisha hizi degrees sio idiots wanajua nini wanaofanya
Kwani pharmacologist ni nani kadri ya uelewa wakoMkuu Bsc in chem uwezi kuwa pharmacologist