Hivi mnapata ugumu kujua mboga ya kupika kama mimi?

Hivi mnapata ugumu kujua mboga ya kupika kama mimi?

😂😂😂 kumbuka ulisema samaki atachelewa kuyeyuka
Unatoaje samaki saa 7 kwa fridge hadi ayeyuke apikwe aive watu tutakula saa ngapi.

Ulitaka tu kulisha wenzako dagaa😂😂Roho mbaya tu
 
Ni kazi ngumu sana kupanga watu wale nini kuanzia break fast, lunch na dinner kila siku.
Hii inaashiria uchumi wako uko vizuri, wengi wetu hatupati shida kuamua cha kula sababu tunalimited choice tunakula chakula kile pesa inaweza kununua automatically hakuna swali unaenda nunua nini siku hiyo. Tunazungusha dagaa, maharage, vegies bila wasiwasi
 
Back
Top Bottom