Huyo jamaa ukute hajawahi hata kukanyaga Dom ila amesimuliwa tu😂😂..hali ya hewa ya Dom ni "moderate" sio baridi kali wala joto kali .Ingekua baridi kali kama Makete au joto kali kama Dar mwakamzima labda ndio tungejua ana point ila hana point yoyote zaidi ya chuki+wivuKuuliza watu wanaoshije mahali huo ni utoto, na ukiona bado huwezi kujichagulia uishi wapi wewe ndo mwenye matatizo!
Dodoma hakuna harsh environment ya kuanza kujadili humu, watu wanaoshi mpaka Yakutsk huko baridi inaafika -60celcius na wala hawakai wakilia lia!
Lakini hapo hapo unapasifia dubaiNianze kwa kusema nimeishi Arusha, Mwanza, Dar Moshi, na sasa hivi nipo Dodoma unaelekea Mwaka sasa nipo huku kwa sababu za kikazi.
HALI YA HEWA
Huu mji toka nifike sijaona mvua, mchana kuna jua kali sana na vumbi halafu jioni na usiku upepo mkali wa baridi kama jangwani karibia napakimbia .
MAKAZI
Kwa sasa hivi Dodoma ujenzi ndo mahala pake lakini watu hawajui kujenga kabisa ,Sidhani hata kama wanatumia ramani kwenye kujenga maana wanajenga manyumba makubwa kama makubwa jinga halafu mabaya hayapakwi rangi wala kupigwa lipu yanaachwa hivyo hivyo na madirishani wakiweka mifuko ya cement, mabox au makaratasi ya magodoro ni kichefuchefu. Ukija kwenye bati ndo huzuni mabati marefu refu kama Mkuki
USAFIRI
Kama huna gari au sio wa kutokea STM au STK etc huku hakufai usafiri haueleweki wala nauli hazieleweki kila mtu na nauli yake .
MAJI
Kwa mara ya kwanza nashuhudia maji ya idara ya maji yana chumvi. Kama huna kazi hapakufai, maji ya kunywa ni ununue bila hivyo utakunywa chumvi uwe na meno kama ndugu zetu wa Arusha.
KAZI
Dodoma ofisi nyingi zinahamia huku lakini sio sehemu bora ya kuja kuanzia maisha kama huna ramani tofauti na mikoa kama Dar, Mwanza na Arusha huku utapauka dakika 2 baada ya kushuka stand
MWISHO
Nisipoona hata mvua hii miezi iliobaki hata kwa mganga nitaenda nihame ofisi.
Huyo jamaa ukute hajawahi hata kukanyaga Dom ila amesimuliwa tu[emoji23][emoji23]..hali ya hewa ya Dom ni "moderate" sio baridi kali wala joto kali .Ingekua baridi kali kama Makete au joto kali kama Dar mwakamzima labda ndio tungejua ana point ila hana point yoyote zaidi ya chuki+wivu
Tutajie mji wowote mkubwa Tanzania ambao hauna ombaomba....kama ombaomba wapo hadi New York,Marekani kuna cha ajabu apo😀Ombaomba wa Dodoma ni pasua kichwa, ni kama wako na dawa ya kutambua huyu ni mwenyeji na yule ni mgeni. Wanaomba omba kwa kupanga foleni wanakuja mmoja baada ya mwingine
Watoto wengi sana JF sikuhiziRudi tuu ulipotoka mkoa hauwezi kujibadilisha hali yake ya hewa iendane na wewe...
Sure, dom hakuna mtu anajenga nyumba yake anaweka feni au ac....hlf wanakwambia hali ya hewa mbaya, inachekesha sana...coz asbh ht ukipiga suti huteseki na joto kama DarMbona Dom hawaendi na vitambaa vya kujifuta jasho kazini kama Dar ambako masaa 24 mwakamzima ni full joto. Ofisi nyingi za Dom hazina feni wala AC kama huku Dar ambako ni lazima 😀😀
Na mimi shangazi yako niko huku huku nacharazwa na kipupwe..Usiyaseme vibaya makazi ya mjomba angu Poor Brain
Anachangamsha tu wasomaji, kuona waliowahi kufika huko.huyo jamaa ni walewale "hater" nina wasiwasi kama kweli amewahi kufika Dom manake anajichanganya mwenyewe anasema eti anakaribia mwakamzima hajaona mvua wakati msimu wa masika mwakahuu Dom mvua ilinyesha ya kutosha hadi kuvunja rekodi😀😀
😄😊😊😊🤣🤣🤣eti upasuliwe mfereji...dodoma vijijini wanapaswa kuhimizwa kukata minyaa yote na kupanda miti ya asili
hali ya hewa pale ni hovyo sana
upasuliwe mtaro mkubwa toka ziwa victoria kuja kuilowanisha dadama iwe chepechepe miaka 5 tuh panakua kama marangu kule moshi au olimotoni kule arusha
Kuna watu wanaichukia Dom bila sababu yoyote ya msingi😀😀...ukiwauliza wanakuja na ngonjera zilezile mara jangwa,mara ukame mara hali ya hewa mbaya 😀😀mtu huyohuyo tena utakuta anakwambia hataki miji yenye baridi kali kama njombe au jotokali kama DarSure, dom hakuna mtu anajenga nyumba yake anaweka feni au ac....hlf wanakwambia hali ya hewa mbaya, inachekesha sana...coz asbh ht ukipiga suti huteseki na joto kama Dar
JF sikuhz imevamiwa na vitoto vya facebook😀😀 anakwambia eti amekaa Dom karibia mwaka hajaona mvua wakati msimu wa masika Dom umeisha miezi minne nyuma🤣🤣Anachangamsha tu wasomaji, kuona waliowahi kufika huko.
Kwa huu uandishi huwezi ishi Dodoma jombaaa.Nianze kwa kusema nimeishi Arusha, Mwanza, Dar Moshi, na sasa hivi nipo Dodoma unaelekea Mwaka sasa nipo huku kwa sababu za kikazi.
HALI YA HEWA
Huu mji toka nifike sijaona mvua, mchana kuna jua kali sana na vumbi halafu jioni na usiku upepo mkali wa baridi kama jangwani karibia napakimbia .
MAKAZI
Kwa sasa hivi Dodoma ujenzi ndo mahala pake lakini watu hawajui kujenga kabisa ,Sidhani hata kama wanatumia ramani kwenye kujenga maana wanajenga manyumba makubwa kama makubwa jinga halafu mabaya hayapakwi rangi wala kupigwa lipu yanaachwa hivyo hivyo na madirishani wakiweka mifuko ya cement, mabox au makaratasi ya magodoro ni kichefuchefu. Ukija kwenye bati ndo huzuni mabati marefu refu kama Mkuki
USAFIRI
Kama huna gari au sio wa kutokea STM au STK etc huku hakufai usafiri haueleweki wala nauli hazieleweki kila mtu na nauli yake .
MAJI
Kwa mara ya kwanza nashuhudia maji ya idara ya maji yana chumvi. Kama huna kazi hapakufai, maji ya kunywa ni ununue bila hivyo utakunywa chumvi uwe na meno kama ndugu zetu wa Arusha.
KAZI
Dodoma ofisi nyingi zinahamia huku lakini sio sehemu bora ya kuja kuanzia maisha kama huna ramani tofauti na mikoa kama Dar, Mwanza na Arusha huku utapauka dakika 2 baada ya kushuka stand
MWISHO
Nisipoona hata mvua hii miezi iliobaki hata kwa mganga nitaenda nihame ofisi.
Ndiyo burudani ya jamii forum yenyewe. Ahurumiwe tu bure.JF sikuhz imevamiwa na vitoto vya facebook😀😀 anakwambia eti amekaa Dom karibia mwaka hajaona mvua wakati msimu wa masika Dom umeisha miezi minne nyuma🤣🤣
MakaziNianze kwa kusema nimeishi Arusha, Mwanza, Dar Moshi, na sasa hivi nipo Dodoma unaelekea Mwaka sasa nipo huku kwa sababu za kikazi.
HALI YA HEWA
Huu mji toka nifike sijaona mvua, mchana kuna jua kali sana na vumbi halafu jioni na usiku upepo mkali wa baridi kama jangwani karibia napakimbia .
MAKAZI
Kwa sasa hivi Dodoma ujenzi ndo mahala pake lakini watu hawajui kujenga kabisa ,Sidhani hata kama wanatumia ramani kwenye kujenga maana wanajenga manyumba makubwa kama makubwa jinga halafu mabaya hayapakwi rangi wala kupigwa lipu yanaachwa hivyo hivyo na madirishani wakiweka mifuko ya cement, mabox au makaratasi ya magodoro ni kichefuchefu. Ukija kwenye bati ndo huzuni mabati marefu refu kama Mkuki
USAFIRI
Kama huna gari au sio wa kutokea STM au STK etc huku hakufai usafiri haueleweki wala nauli hazieleweki kila mtu na nauli yake .
MAJI
Kwa mara ya kwanza nashuhudia maji ya idara ya maji yana chumvi. Kama huna kazi hapakufai, maji ya kunywa ni ununue bila hivyo utakunywa chumvi uwe na meno kama ndugu zetu wa Arusha.
KAZI
Dodoma ofisi nyingi zinahamia huku lakini sio sehemu bora ya kuja kuanzia maisha kama huna ramani tofauti na mikoa kama Dar, Mwanza na Arusha huku utapauka dakika 2 baada ya kushuka stand
MWISHO
Nisipoona hata mvua hii miezi iliobaki hata kwa mganga nitaenda nihame ofisi.
Baambie baambie baelewe...DODOMA ni kama paradiso ukilinganisha na DARISALAMA jiji la MAJOTRO linalonuka MADIFI kila kona.
Cc: Kalpana Poor Brain Lamomy Extrovert Mbaga Jr The Icebreaker Lloyd Munroe
Kikuyu ni mjini labda hiace ziwe zinaanzia sabasaba kwenda mkonze kupitia kikuyu.Samahani naomba kujua kwanini wakazi wa Kikuyu hawana daladala kama maeneo mengine? Nini kimefanya eneo hilo likose daladala!
Sent from my SM-A325N using JamiiForums mobile app