Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wengine ulotaja ni "wakonongo"Kwani wakaazi wa Dom ni Wagogo tu ...vp Warangi,Wanyambwa,Wakaguru,Wasagara,Wasandawe wapo wapi!!?
Dodoma desert wanaishi rango uku😀😀Kumbe kule walipojenga Udom ni vichuguu!!?,Kwa Waziri Mkuu Area D ni vichuguu!!? ,Imagi Hill kwenye minara ni vichuguu...!!? Ihumwa Jeshini ni vichuguu..!!?, Ikulu ni vichuguu..!!? Milima nyuma ya gereza la Isanga ni vichuguu...!!?
Chuki+wivu ni hatari kwa afya yako aisee
Kwa mtazamo wangu naona TANZANIA nzima imebarikiwa tuSiwezi kuhama Kila kitu kipo huku Kwa Sasa labda ningefanya mapema kabla sijakita mizizi
Watu tupo uko toka kipindi tuna fatwa kuombwa tuingieAjira mpya umepata kisha unatamba.
All the best
Kwambahuyo jamaa ni walewale "hater" nina wasiwasi kama kweli amewahi kufika Dom manake anajichanganya mwenyewe anasema eti anakaribia mwakamzima hajaona mvua wakati msimu wa masika mwakahuu Dom mvua ilinyesha ya kutosha hadi kuvunja rekodi😀😀
Nime nunua kwa ajiri ya kujenga flame za hardwares. na nme kiri apo juu Dodoma kwenye biashara ya vifaa vya ujenzi kwa sasa ndo penyewe .japo kujenga hawajuiHauna kiwanja ulichonunia uniuzie maana aisee Dodoma hapafai?
Amna mtu mwenye akili aweke hate na hili jangwahuyo jamaa ni walewale "hater" nina wasiwasi kama kweli amewahi kufika Dom manake anajichanganya mwenyewe anasema eti anakaribia mwakamzima hajaona mvua wakati msimu wa masika mwakahuu Dom mvua ilinyesha ya kutosha hadi kuvunja rekodi😀😀
Hili ni la ukweli, ila hilo linachangiwa na ubora wa nyumba zenyewe, kutokana na baridi kali usiku na upepo nyumba nyingi zinawekwa vioo....sasa nyumba dirisha la kioo kupanga kwa kodi ya 50k co rahisi sana, nyumba nyingi dom ni za kifamilia na co za kupanga...hilo linachangia pia kodi kuwa juuBei ya nyumba umesahau ,nyumba ni ghali sana dodoma
Dodoma hakuna milima wala mito hata mmoja ila vichuguu kibao.
Dodoma hakuna milima wala mito hata mmoja ila vichuguu kibao.
Hombolo umefika? Mkalama? Mana hata Dar kuna watu wanakaa mwaka mto msimbazi hawajaiona wala bahariDodoma hakuna milima wala mito hata mmoja ila vichuguu kibao.
😅afu wagogo wabishi wanaendesha boda bila helmet na ule upepoNilikuwa nimejifanya ngunguri nikaenda pale Chef Asili kusubiri basi mida ya saa moja.Nilipigwa na baridi mpaka nikanunua uji wa mchele bila kupenda.Kuna upepo Dodoma usiku sijawahi ona.