Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Binafsi siamini katika 50/50 na sijawahi kuamini kuwa mwanamke anaweza kuwa sawa na mwanaume
Inatokea mzazi unampeleka mtoto wakoJKT aje awe mlinzi wa makampuni anakesha akiwa lindo ni ajabu hii kuwa hakuna kazi nyingine?
Tumeona vita nyingi duniani kama kule middle east na Ukraine Frontline haina soldiers wa kike hii ni dhahili kuwa mtoto wa kike sio wa tasnia ya ulinzi, wako soft sana na siku zote ni wa kupambaniwa na wanaume
Tofauti na vigogo ambao hata watoto wao wakiwa wanajeshi na askari huwa katika vitengo maalum ambavyo kwa namna moja au nyingine wanakuwa hawahusiki na mission ngumu ngumu na lindo, kwa masikini mwenzangu kumpeleka mtoto wako akafanye kazi za ulinzi ni ukosefu wa uwajibikaji kwa mtoto wa kike ni hayo tu.