Hivi mnawezaje kuwapeleka watoto wenu wa kike wakafanye kazi za ulinzi?

Hivi mnawezaje kuwapeleka watoto wenu wa kike wakafanye kazi za ulinzi?

Ushasema ni kwa kutaka sasa mpeleke wa kwako kama atakuwa na choice hiyo
Point yako ni nini..? watoto wakike wasiruhusiwe kufanya kazi za ulinzi au wasipangiwe majukumu yao

Wangu akikua atakwenda suala la machaguo ni lake binafsi
 
Ni sawa ila sio kwa mtoto wangu siwezi kumtoa sadaka akawe mboga huko na tabu juu
Hatujui kesho yetu omba uendelee kuwa na kipato na uhai.

Hata hivyo kila kazi ina upande wa pili wa ubaya na hatari
 
Point yako ni nini..? watoto wakike wasiruhusiwe kufanya kazi za ulinzi au wasipangiwe majukumu yao

Wangu akikua atakwenda suala la machaguo ni lake binafsi
Soma vizuri utaelewa usisome heading tu

Nimesema tofauti na watoto wa vigogo...... Endeleaaa
 
Binafsi siamini katika 50/50 na sijawahi kuamini kuwa mwanamke anaweza kuwa sawa na mwanaume

Inatokea mzazi unampeleka mtoto wako jkt aje awe mlinzi wa makampuni anakesha akiwa lindo ni ajabu hii kuwa hakuna kazi nyingine?

Tumeona vita nyingi duniani kama kule middle east na Ukraine Frontline haina soldiers wa kike hii ni dhahili kuwa mtoto wa kike sio wa tasnia ya ulinzi, wako soft sana na siku zote ni wa kupambaniwa na wanaume

Tofauti na vigogo ambao hata watoto wao wakiwa wanajeshi na askari huwa katika vitengo maalum ambavyo kwa namna moja au nyingine wanakuwa hawahusiki na mission ngumu ngumu na lindo, kwa masikini mwenzangu kumpeleka mtoto wako akafanye kazi za ulinzi ni ukosefu wa uwajibikaji kwa mtoto wa kike ni hayo tu.
Kweli kabisa, sijawahi kuona askari wa kike kapangiwa lindo kama bank, kwa viongozi nk.
Kukesha askari wa kike na wakiume ni rahisi sana.
 
Kitanda usichokilala hujui kunguni wake! Kwa kifupi hujui wala hauna ufahamu na ulisemalo. Hakuna mzazi anayependa Binti yake ataabike au afanye kazi za aina hiyo ni kwamba wakati mwingine hakuna chaguo inabidi iwe hivyo tu.
Ni k well kabisa, kuna kazi tunafanya tuu sababu hakuna option na inabidi zifanyike.
 
Umesahau wale mabinti wa ndege za kivita za israel zilizoishambulia iran?. Ila sio poa, kuna hawa wacheza mpira wa miguu ndio utata zaidi
 
Wanawake wana umuhimu wao kwenye vyombo vya ulinzi mkuu. Wanatumika kwenye mambo ili kurahisisha kazi.
Hebu tuongelee mtoto wako, upo tayari atumike kwenye hizo mambo

Hivi unajua jinsi watoto wa wazazi wasio na majina wanavyokutana navyo huko
 
Wewe kama baba umefanya nini kumsaidia huyo mtoto hadi awe hivyo acha kukwepa majukum yako
Kama baba nimeshafanya kila jambo uwezo umefika mwisho. Kama tumeshakua huru kuwaachia nao wajichanganye basi tusije kushangaa siku moja wanasukuma mikokoteni nao.

Kazi za ulinzi tunabana, mwanzo ilikua ukondakta. Angalia jinsi tunavyoenda.
 
Hapa sasa hivi niko kwenye kijumba cha walinzi ni.ekaa nao hapa zipo pisi mbili matata. Napiga nazo story na wao wanasema wanamudu vizuri kufanya hii kazi
 
Endelea kupambana mkuu umtoe huko bora umfungulie mgahawa au kiosk auze mboga mboga sio ulinzi kwa haya makampuni
 
Hapa sasa hivi niko kwenye kijumba cha walinzi ni.ekaa nao hapa zipo pisi mbili matata. Napiga nazo story na wao wanasema wanamudu vizuri kufanya hii kazi
Wangoje lindo la usiku uwaulize tena hilo swali
 
Endelea kupambana mkuu umtoe huko bora umfungulie mgahawa au kiosk auze mboga mboga sio ulinzi kwa haya makampuni
Ndio maana nachosema hukielewi. Nimekwambia nimepambana nimefikia hapo kwa maana ya yeye mwenyewe hawezi kukaa kupika pika, au kuuza vinywaji.

Hakuna asiyependa maisha mazuri ila kuna muda kila unachojaribu hakiwezekani basi inakua aende huko huko na yeye unamuona yuko happy. Muhimu kuendelea kuwa support usimkatishe tamaa hata kwa hicho anachokifanya halali
 
Umesahau wale mabinti wa ndege za kivita za israel zilizoishambulia iran?. Ila sio poa, kuna hawa wacheza mpira wa miguu ndio utata zaidi
Kuna kazi nyingine tunawalazimisha tu na wao wanajikaza mbele ya camera kunesha wanaweza ila kiuhalisia hawawezi

Kuna sehemu nipo hapa kuna taasisi kubwa tu nchi hapa hao suma jkt wanaokesha lindo kwa shift ukiwaona na wanavyoishi ni huruma kwa kweli
 
Ndio maana nachosema hukielewi. Nimekwambia nimepambana nimefikia hapo kwa maana ya yeye mwenyewe hawezi kukaa kupika pika, au kuuza vinywaji.

Hakuna asiyependa maisha mazuri ila kuna muda kila unachojaribu hakiwezekani basi inakua aende huko huko na yeye unamuona yuko happy. Muhimu kuendelea kuwa support usimkatishe tamaa hata kwa hicho anachokifanya halali
Endelea kupambana umtoe hapo simkatishi tamaa naongea uhalisia na wewe umemleta duniani una wajibu huo
 
Kwanza mi huwa nashangaa sana hata wale wanaoruhusu watoto wao wa kike kupitia jeshi baada ya form six,.....hamna cha ukakamavu wanaoupata huko zaidi ya kwenda kuwa MBOGA za watu tu,......🚮🚮
Nimepita huko and above, kuna sich anomaly but si kubwa kama inavyokuzwa
Ndio hao leo wako polisi, wako usalama, wako uhifadhi na uhamiaji

JKT ina nafasi yake
 
Back
Top Bottom