Hivi mnawezaje kuwapeleka watoto wenu wa kike wakafanye kazi za ulinzi?

Mission nyingi ngumu zinafanywa na wanawake ila Mission nyingi hatarishi kwa uhai zinafanywa na wanaume.

Kila taasisi lazima wanawake wawepo otherwise itakuwa kazi ya utumwa kama miaka na miaka watakuwa watu wa jinsia moja tu.

Kukiwa na wanaume tu kwenye vyombo vya ulinzi tutazalisha wabakaji na mashoga wengi sana mwishowe dunia haitakuwa sehemu salama tena.
 
Wewe ni wa kike au wakiume mkuu?
 
Inatokea mzazi unampeleka mtoto wako jkt aje awe mlinzi wa makampuni anakesha akiwa lindo ni ajabu hii kuwa hakuna kazi nyingine?
Si bora hao wanapata pesa halali kwa nguvu na akili zao. Ushajiuliza umesomesha mtoto vizuri bado anakuja kuwa li malaya. Yan ameshindwa kutumia uwezo wa kuchanganua mambo akachanganua apate ajira nzuri bila kuuchosha mwili wake.
 
Hakuna bora hapo vyote ni sawa wewe ke ikeshe usiku mzima akiwa lindo bado hajapigwa miti tu fikiria mara mbili
 
Ni sawa ila sio kwa mtoto wangu siwezi kumtoa sadaka akawe mboga huko na tabu juu
 
Hakuna bora hapo vyote ni sawa wewe ke ikeshe usiku mzima akiwa lindo bado hajapigwa miti tu fikiria mara mbili
Sasa afanye nini? Analea mtoto wake aliyeachwa na baba mpuuzi, analea wadogo zake, na familia nzima. Akadange muje mumuanzishie uzi humu?

Hebu tuwapunguzie aseeh. Waache hawa viumbe
 
Sasa afanye nini? Analea mtoto wake aliyeachwa na baba mpuuzi, analea wadogo zake, na familia nzima. Akadange muje mumuanzishie uzi humu?

Hebu tuwapunguzie aseeh. Waache hawa viumbe
Wewe kama baba umefanya nini kumsaidia huyo mtoto hadi awe hivyo acha kukwepa majukum yako
 
Sasa sheria inasema wanawake wasachiwe na wanawake wenzao, nani atawasachi kusipokua na wanawake walinzi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…